Search results

  1. P

    Msaada tafadhali.

    Naomba mnielekeze kampuni inayouza vifaa vya kuendeshea kilimo kama vile power tiller, gasoline micro tiller, na pipe za kuvutia maji katika kilimo cha umwagiliaji
  2. P

    Natafuta eneo lililo karibu na mjini la kufugia kuku wa nyama, niko mkoani Morogoro

    Ndugu wana JF, Naomba ushirikiano wenu, natafuta nyumba ya kuishi ambayo naweza kutumia ktk biashara ya ufugaji kuku wa nyama, mimi Nimefika mkoani hapa ni mgeni kidogo, kwa sasa nimefika mtaa wa pamba karibu na hospitali ya mkoa.
  3. P

    Naombeni mchanganuo kidogo kwa mtu ambae anafanya na tayari amefanikiwa kupitia hii biashara

    Naomba ufafanuzi yakinishi kuhusu biashara ya mkaa kwa hapa dar es salaam. Upatikanaji wake, usafirishaji, soko, vibari na uhuru, uendeshaji, pia na mtaji ambayo naweza anza nao .
  4. P

    House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga - Njombe

    Samahani wana JF naelekea njombe naomba msaada wa bei za nyumba za kupanga likizo karibu na hospitali ya mji wa njombe(mkoa)
  5. P

    Kati ya hawa mmojawapo anaweza kuwa Rais 2025

    Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya. Turudi kwenye mada Inasemekana sasa hivi kambi...
Back
Top Bottom