Search results

  1. Ye Soya

    Plot4Sale Nauza shamba langu heka 3

    Hizo dakika 25 ni kwa kutembea kwa mguu au kwa gari au kwa usafiri gani? Fafanua
  2. Ye Soya

    Mfahamu muigizaji Kajol

    Aisee...kwa hiyo hawana mapenzi ya dhati
  3. Ye Soya

    Andika hapa ndoto zako za usiku ili kukicha uweze kutafsiriwa

    Mimi nimeota niko kijijini kwetu nilikozaliwa. Nikawa nimekaa sehemu nikakutana na Hayati Magufuli akiwa amevaa Kofia ya Pama na shati la kitenge na suruali nyeusi. Tena wakati nakutana nae nilijua kabisa nimekutana na mtu ambye ameshafariki. Tukaongea nae mambo mengi ya miradi ya kusafirisha...
  4. Ye Soya

    Haithamkim amefanyaje?

    Pumzika kwa amani msanii Haitham Kim.
  5. Ye Soya

    Rais Samia: Wakuu wa wilaya hamfanyi kazi, mnasubiri mkeka

    Ndio ubaya wa vyeo vya kuteuliwa. Tuige mfano wa Kenya. Mkuu wa mkoa (kaunti) anachaguliwa na wananchi na ana cheo cha gavana. Hawana haya mambo ya mtu kusubiri kuteuliwa kila baada ya wiki.
  6. Ye Soya

    Plot4Sale Jipatie Shamba Vigwaza la ekari saba na nusu kwa Milioni 20

    Asante kwa taarifa. Hiyo bei mazungumzo si yapo? Panafikika kwa gari mpaka shambani?
  7. Ye Soya

    Plot4Sale Shamba heka 5 linauzwa Vigwaza

    Ni jirani na huko wanakojenga bandari ya nchi kavu?
  8. Ye Soya

    Plot4Sale Shamba heka 5 linauzwa Vigwaza

    Vipi bei inaweza kupungua? Nitakuona kwa Private Message
  9. Ye Soya

    Angekuwepo Hayati Rais Magufuli Kamwe Asingekubali Haya Yatokee

    Kuhusu kupanda gharama za bando chuma angeshangilia sana maana aliwahi kuzima kabisa mitandao mpaka tukaokolewa na VPN
  10. Ye Soya

    Rukwa: Adaiwa kumuua mkewe kwa kumnyonga akimtuhumu kuchepuka, naye ajiua kwa kujinyonga

    Hivi picha zao zimewekwa humu tuone hiyo pisi iliyopelekea Mwalimu kufanya maamuzi magumu
  11. Ye Soya

    Rayvanny atakiwa kuilipa Wasafi Milioni 50 baada ya kufanya shoo kwenye ndoa ya Bilnas

    Hawa wasanii hela wanazopata wanashindwa kuwa na wanasheria wa kuwasaidia kuepuka huu ujinga?
  12. Ye Soya

    Raisi wa Kongo kuwa kimia juu ya bunagana

    Kagame msumbufu sana. Dawa yake ilikuwa JK tu
  13. Ye Soya

    Biashara ya gym, vifaa vyake na changamoto zake

    Huu uzi nimeupenda. Natamani na mimi huko mbeleni niwekeze kwenye hii biashara
  14. Ye Soya

    Rwanda: Afisa wa Zamani ahukumiwa miaka 20 jela kwa kuhusika katika Mauji ya Halaiki

    Duuh. Yaani walikuwa bado wanaendesha kesi toka 1994? Siku PK akitoka madarakani akaingia Mhutu hao wote watawachiliwa huru
  15. Ye Soya

    TRA,EFD mashine used nini tatizo?

    Hili suala limeshapatiwa majibu?
  16. Ye Soya

    Plot4Sale Kiwanja kiko Goba Sqm 940 kwa 18 milion

    Mkuu hii biashara bado ipo? Kama Bado ipo naomba namba zako tuwasiliane tafadhali
  17. Ye Soya

    TBC 1 ni vyema mkisitisha kurusha matangazo ifikapo saa 6 usiku

    Watu mna moyo sana kwa kweli. Yaani kabisa usiku nitazame TBC1 wakati hata mchana siwezi kuitazama? Hata kama kifurushi cha Tv kimeisha bora kukesha JF
Back
Top Bottom