Soko la Wafadhili (The market of potential donors) kwa Taasisi zinazofanya vizuri katika maeneo yao ya kiutendaji ni kubwa. Ili kuwa na ufanisi katika kuliendea soko hili; Taasisi inapaswa kuligawa (market segmenting). Namna rahisi kwa Taasisi kugawa soko la Wafadhili ni kama ifuatavyo;
Soko...
Tanzania Forest Fund (TaFF) ni Mfuko ya umma ulioanzishwa chini ya Sheria ya Misitu (Forest Act Cap. 323) kwa lengo la kuhifadhi na kusimamia rasilimali ya Misitu Tanzania Bara. Mfuko huu upo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii na unasimamiwa na Bodi ya Wadhamini. Mwaka huu (2020) Mfuko...
Uwasilishaji wa Hitajio (Need Statement) ni kipengele MUHIMU sana katika uandaaji wa andiko la Mradi. Uwasilishaji wa Hitajio una malengo makuu mawili (2) ambayo ni:
Kuonyesha ni kwa namna gani TATIZO la mradi wako linarandana na matakwa/maslahi ya mfadhili (funder's interests/priorities)...
Utafutaji wa Fedha (Fundraising) ni kitendo cha Taasisi kutumia vyanzo/njia mbalimbali kwa ajili ya kukusanya fedha ambayo hutumika katika utekelezaji wa shughuli za Taasisi hususani utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo. Taasisi hutofautiana katika uwezo wa utafutaji wa fedha (fundraising), kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.