Search results

  1. MGASON

    Madudu katika ajira za TAKUKURU, baadhi ya watu waitwa kwenye usaili bila kufanya aptitude test

    angalia pia katika kipengere cha Quantity Surveyor kuna majina matatu yameongezwa ambayo hayakufanya mtihani na pia ni kutokana na uchunguzi wangu kwa kuangalia majina ya alama za apptude test walizofanya tarehe 17/1/2014 na pia majina ya walioitwa katika usaili..majina haya ni DAINESS...
  2. MGASON

    TANESCO na DAWASCO igeni mfano wa NHC

    Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Shirika la Nyumba la Taifa N.H.C kwa utendaji wao mzuri wa kazi na hii nina imani ni kutokana na mambo kadha wa kadha ikiwemo Uongozi wa juu ulio makini na kile wanachokifanya,uongozi wa juu kushikiliwa na vijana ambao wengi wao damu bado inachemka,uzalendo kwa...
  3. MGASON

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Wadau, Napenda kutanguliza shukrani za dhati kwenu nyote nimepona ugonjwa wa fungus wa mwili niliokuwa nao kwa muda takribani miaka 12. Nimetibiwa hospital ya masista Kawe unashukia kituo kinaitwa Kanisani kama ukipanda daladala. Jaribu nawe kama una tatizo kama langu thanks so much JF
  4. MGASON

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Nicheki pm nikupatie contact zake..
  5. MGASON

    Msaada wa dawa ya fungus wa vidole vya miguu

    naomba msaada Wadau me nasumbuliwa na fungusi za ngozi mwaka wa 7 sasa natumia vidonge na dawa za kupakaa but zinapona lakini baada ya mwezi zinarudi tena kwa kasi katika sehemu kubwa ya mwili
  6. MGASON

    Gari la zaidi ya milioni 800 linalomilikiwa na mtoto wa Bakhresa ambalo limekuja kwa oda maalum..!!

    Hakuna cha gari jipya wala nini yote hiyo ilikuwa kuwahadaa watanzania wasiojua magari ama wasiojua maana ya special order..
  7. MGASON

    Gari la zaidi ya milioni 800 linalomilikiwa na mtoto wa Bakhresa ambalo limekuja kwa oda maalum..!!

    Wasiwadanganye wabongo watakavyo wao..na sisi baadhi yetu tusipende kushadadia issue tusizozijua eti ohhoo kanunua ..mara oohohhoo special order achenihizo huo wote ulembo watu wamefuma jina na ilo neno special for sijuo yunanii ...watu wanapenda ubwete sana ..na vibrog navyo vinakosa ya...
  8. MGASON

    Gari la zaidi ya milioni 800 linalomilikiwa na mtoto wa Bakhresa ambalo limekuja kwa oda maalum..!!

    nilitoa ahadi kuweka hizi picha coz wabongo tumechoka kugeuzwa mazuzu na baadhi ya watu eti kisa wana pesa..uliona special order ikafanyiwa ukalabati hapa bongo??msigeuze watu Mbulula kiivyo banaa haipendezi..
  9. MGASON

    Gari la zaidi ya milioni 800 linalomilikiwa na mtoto wa Bakhresa ambalo limekuja kwa oda maalum..!!

    Msipende kutafuta umaarufu wakijinga hilo gari sio special adition bali kalifanyia modification ya interio design hapa hapa bongo na kama ukibisha nitaweka picha za kazi nzima ilivyokuwa ikifanyika..msipende umaarufu wakipuuzi..ndio babake anapesa ila sio mdanganye wabongo kiivyo..
  10. MGASON

    sina mpenzi jamani nikitongozwa utakuta ni kijana either anataka kuoa au ameshaoa naomba ushauri

    Jaribu kuni pm nahisi umenipata coz hata mimi nimuhanga watatizo kama lako so tumekutana...
  11. MGASON

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Tumieni tofali za Hydraform ktk ujenzi wenu but inabidi mwende kwa wakala wao wako dar ghalama za ujenzi zitapungua kwa asilimia 30% ukilinganisha na ujenzi wa tofali za cement.angalia hiv sasa hata serikali kupitia NHC wanatumia sana ujenzi wa Hydraform but wao wanawatumia mawakala direct...
  12. MGASON

    ILBORU SEC SCHOOL chini ya jeshi la polisi kuanzia muda huu!

    Big results on progress..lol...majanga
  13. MGASON

    Mwarobaini wa CCM hatimaye umepatikana

    Karata pekee ya anguko la ccm ni kwa vijana ambao ndio nguzo yamabadiriko hivi sasa kujitokeza kwa wingi na kujiandikisha ili ifikapo wakati wakupiga kura wapige na si kukaa ktk majukwaa na vijiwe kuota kuiangusha ccm nawakati hata kura hawapigi..hizo zitakuwa ni ndoto za alinacha..tuanze kwanza...
  14. MGASON

    Naomba ushauri toka kwenu wa dau

    Pretender wakubwa mke au mme mwema hutoka kwa mungu
  15. MGASON

    Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

    Sidhani kama nimekurupuka kabila lake ni mjita tena wa mkoa wa mara..
  16. MGASON

    Muongo Vs. Mengi. Kimenuka !

    Mjita akipata madaraka ndio alivyo na akikosa hupenda sana kujipendekeza ref: mwandishi aliekuwa channel 01 mr kifo..
  17. MGASON

    Sintofahamu baina ya JK na Kagame; Tanzania tuwe makini na suluhu tuitakayo!

    Gagame yuko sahihi kabisa 100% huyu ndio rais mwenye msimamo wengine wanaiga tu..jiulize hapo kaambiwa maneno tu imekuwa hivyo what if mkitaka kumpiga? Unadhani atafanyaje? Halafu mbona tanganyika ina mambo mengi sana yanayoitaji ushauri kwa nini hadi uutoe nje kwa wasioutaka,? Fikiria chukua hatua
  18. MGASON

    Wanawake kuendesha gari peke yao...

    Ok ni PM office yako nitakuwa nakuja babe...
  19. MGASON

    Dada zangu wa kichaga jisafisheni kimapenzi maana sehemu kubwa ya jamii inawaogopa kimapenzi

    Then ukimwelekeza yy anaona kama unamsumbua vile,pia akifika mshindo jiandae either kuumwa meno begani au kubana mapa...j.. Duuh wachaga kiboko..
Back
Top Bottom