Search results

  1. Mboka man

    Ajira: Nafasi wazi za kazi Ikulu huwa zinatangazwa lini na wapi?

    KWA KIFUPI TUU ........ KAZI ZA SIKU HIZI NI KUJUANA ........ MENGINE HAYO JIONGEZE Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  2. Mboka man

    Hii Kampuni ichunguzwe

    Hawa ni large ni tax payers aiseee unaanzaje kuwafutaaa
  3. Mboka man

    Ni kwanini misiba ya siku hizi imegeuka vijiwe vya kupeana umbea na majungu?

    Tofauti na zamani watu walikuwa wanaheshimu sana misiba kila anaekwenda msibani lengo ni kutoa heshima za mwisho za marehemu na kumzika. Tofauti na sasa misiba siku hizi watu wameigeuza kuwa vijiwe vya umbea na majungu. Unakuta mtu anaenda msibani lengo ni kupeleka umbea au kusikisikia umbea...
  4. Mboka man

    Natafuta kazi ya kujitolea nina Degree ya IT

    Unataka uzoefu katika eneo Gani la IT ....... Networking IT SUPPORT Security system. System developer Cyber security and system investigation. Efd machines system Database Sasa sema wewe ni eneo Gani unataka unataka uzoefu Gani tunaanzia hapo kwanza .......... Ukishaelewa ni eneo...
  5. Mboka man

    Miaka mitatu ya Hayati Magufuli, anaishi kwenye mawazo na fikra za watanzania

    Brazaaaa hivi hizi Habari huwa mnazitoaga wapiii ?
  6. Mboka man

    Mwalimu wa kujitolea CHEMISTRY and BIOLOGY

    Mkuu kamwe kamwe usije ukajaribu kujitolea shule za serikali kwa lengo la kuajiriwa, kutafuta pesa ndogo ndogo ya kujikimu. From my experience vijana wengi wanajitolea mashuleni mwisho wao huwa ni mbaya
  7. Mboka man

    Kati ya Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukuu wa Mkoa kipi ni cheo kikubwa?

    Dah wee jamaa bana mada zako kila siku ni kujadili maisha ya watu
  8. Mboka man

    Ifike hatua tuache chuki dhidi ya watoto wa kishua na vigogo wakati makosa ni ya wazazi wetu walichezea maisha

    Ukifatilia kwa mbali haya mambo kwa mbali utagundua kuwasema watu waliofanikiwa vibaya Tunatumia kama njia ya kujifariji Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  9. Mboka man

    Ifike hatua tuache chuki dhidi ya watoto wa kishua na vigogo wakati makosa ni ya wazazi wetu walichezea maisha

    Daa kaka nimependa ushuuhuda wako Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  10. Mboka man

    Utamaduni wa wahindu wanawake kutoa mahari kwa mwanaume katika hili wahindi waliona mbali sana

    Nimejaribu kuutafakari huu utamaduni wa ndugu zetu wahindi linapofika swala la ndoa familia ya mwanamke ndo inawajibika kulipa mahali kwa familia ya wanaume . Ukituzama kwa mbali hawa ndugu zetu waliona mbali sana sababu walijua kijana wao akioa basi ameowa familia sahihi sio zile familia zenye...
  11. Mboka man

    Ifike hatua tuache chuki dhidi ya watoto wa kishua na vigogo wakati makosa ni ya wazazi wetu walichezea maisha

    Wakati wazazi wao wako bize na kusoma na kutengeneza maisha ya kizazi chao cha badae sisi wazazi wetu wako bize na starehe na kula Bata. Wakati wazazi shuleni walikuwa wanazingatia masomo sisi wazazi wetu walikuwa kila siku wako chimbo . Wakati wazazi wao kila wakipata pesa wanawekeza kwa...
  12. Mboka man

    Nini kufanyike ili kuondoa suala la "Connection" katika ajira rasmi?

    Mpka unakosa connections ya kazi tambua ya kwamba haya ni makosa ya either ya wazazi wako hawakukuandalia maisha mapema au tatizo linaweza kuwa ni kwako .
  13. Mboka man

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Daa mbona hii story yako inataka kufanana kama movie ya kinegeria inaitwa mission
  14. Mboka man

    Tahadhari: Vijana mnaofanya kazi wenye mshahara laki 3 hadi 5

    Ushauli mzuli Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
  15. Mboka man

    Kwanini mnapenda kuujumu mkoa wa Kagera?

    Nimekaa kagera kwa miaka karibia 12 Unachosema mleta mada ni uongo mtupu Kagera ni miongoni mwa mikoa masikini tanzania lakini pia kuelimu uko nyuma mnoo Wadada wengi toka huu mkoa ndo wanaongoza kukimbia shule na kukimbilia biashara ya kujiuza mijini hii ndo jadi yao Vijana wa kiume...
  16. Mboka man

    Tahadhari: Vijana mnaofanya kazi wenye mshahara laki 3 hadi 5

    Nimefuatilia na kuchunguza kusema ukweli vijana wengi wanapoteza muda wanavyofanya kazi wanaishia kulipwa mishahara ya laki 3 mpaka laki 5 na hapo ale chakula avae apendeze na mengineyo ahudumie familia mke na watoto bado hapo ndugu asaidie Jioni vijana wanataka wale starehe, mwisho kijana...
  17. Mboka man

    Wadau wa mapenzi nisaidieni hapa, Maji ya shingo

    Ushauli wangu mdogo wangu ni huu muda ulionao utumie katika maswala ya elimu na kutengeneza maisha yako ya badae Haya mambo ya wanawake achana nayo Kama ukiona nyege zinakusumbua nenda tandika au temeke kwawaaaayaaaaa elfu 2 yako
  18. Mboka man

    Mdogo wangu anatafuta shule ya kufundisha physics na math o level

    Mkuu uko sahihi tatizo watu wanaishi kwa kukariri system ya miaka ya 90 na 80 na miaka ya sasa enzi za walimu wa upeeee na voda fasta serikali ilikuwa ikiajiri Enzi zile bana ni kweli form six ilikuwa na nguvu sana ilikuwa inaheshimika sana vijana waliomaliza form six walikuwa wako vizulii na...
Back
Top Bottom