Search results

  1. moyo wangu

    Natafuta mchumba mgumba (asiyeweza kupata mtoto)

    Pole Sana ilaungesema Pole Sana ungesema tatizo tukusaidie humu Kuna wataalam wa masuala ya uzaz wa kike na kiume wa hospital na mitishamba ,ugumba unatibika Ila utasa hautibiki,ukiwa tayari nitafute nikusaidie kukuambia mizizi ya kuchimba huko uliko uchemshe unywe inaeza kukusaidia...
  2. moyo wangu

    Wale wote tuliwahi kutuma nauli na Mwanamke hakuja tukutane hapa kupunguza machungu

    🤣🤣🤣 umenikumbusha mbali mkuu miaka hio ya 2012 humu jf Kuna mzee baba alinitumia nauli mm nkaila🤣🤣🤣acha aanze kunambia kua ataniloga na vitisho kaa vyote kisa elfu 50 tu🤣🤣🤣sijui kaa bado yupo humu jf 🤣🤣long tym
  3. moyo wangu

    Dah! Nini maana yake?

    Acha fikra potofu
  4. moyo wangu

    Hii ndio orodha ya Miji na Wilaya za Tanzania zenye watu wenye kipato cha Uhakika

    Uku wazee wanaela chafu Sana halafu hawajioneshi hata
  5. moyo wangu

    Natafuta temporal job mkoan kilimanjaro...

    ..elimu ya chuo fani ya procurement
  6. moyo wangu

    Natafuta temporal job mkoan kilimanjaro...

    Habar zenu wakubwa...natafuta kaz yoyote ya muda kuanzia mwez wa 7 mpaka wa 9 sipend kukaa nyumban bila kazi...
  7. moyo wangu

    Mwisho wa kujisajili chuo cha saut mwanza kwa mwaka wa kwanza ni lini..?

    habari zenu wana jf..,naomba msaada wa kujua mwisho wa kuripoti chuo cha saut mwanza ni lini tafadhalini mnaojua mnijuze..asanten
  8. moyo wangu

    Uliomba mkopo? Soma hapa..

    Watakua wamefanya la maana
  9. moyo wangu

    Sauti Mwanza inakuaje msaada plzz..

    Asante niga nmetzama now nimeona jna langu.ubarkiwe
  10. moyo wangu

    Sauti Mwanza inakuaje msaada plzz..

    Asanteni nimeshajiona kwenye list,kama ulikua ujaona jina lako tzamen wameyaongeza majna leo
  11. moyo wangu

    Sauti Mwanza inakuaje msaada plzz..

    Okey let m ask who are there
  12. moyo wangu

    Sauti Mwanza inakuaje msaada plzz..

    Nimeyatizama hayo majina yalikuepo kabla tcu hawajatoa selection zao ndo mana nkajb hvo
Back
Top Bottom