Search results

  1. sylla

    Kipi huwezi sahau kwenye mahusiano yako?

    Ni story ipi au jambo gani huwezi lisahau lililo kukuta kwenye mahusiano yako mi nakumbuka siku ya kunza kuaprochi nilitetemeka sana hadi binti niliyekuwa namtongoza mbona unatetemeka vp unaumwa bahat nzuri nilikua sijamtamkia kuwa napenda hapo ndipo nikapata upenyo nilimjibu ndio naumwa ndo...
  2. sylla

    Hellow mi mgeni nahitaji kukaribishwa

    Kuna baadhi ya vitu nahitaji kufundishwa
  3. sylla

    Hadithi beat

    Hivi vile beat/instrument za kwenye hadithi zile ambayo hua ni za taratibu YouTube nimejarbu kutafta ila zina kuja za hip hop. Je, niandikeje ili iwe rahisi kuzipata au hua zinaitwaje?
  4. sylla

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mwenye kufahamu kuhusu selcom line na malipo yake yakoje naomba unifahamishe
Back
Top Bottom