Search results

  1. linahbaby

    Kipi bora kati ya hivi pindi uwapo na mpenzi wako?

    Habari zenu wakuu, hope mko salama na mmemaliza mwaka salama.. Husika na mada hapo juu, leo nataka tupige story kuhusiana na maswala ya simu wakati wa faragha.. Kama mjuavyo mapenzi ni hisia, na pia unapo kuwa na mpenzi wako umakini unahitajika sana hasa kwa yule wa mara ya kwanza kumeet...
  2. linahbaby

    Mtafute partner

    Naitwa linah namtafuta linus
  3. linahbaby

    Elimu kuhusu mgahawa wa kahawa

    Habarin...nafikilia kufungua mgahawa wa kahawa wa kisasa,ila sina elimu yoyote kuhusu upishi, mgahawa uo utaambatanisha juice za matunda tofauti tofaut na chai hvo nikafikilia na kuweka vitafutwa vya aina yote bila kukosa keki. Sasa shida yangu ni ushauri naanzia wap mtaji wangu ni wa milion 2...
  4. linahbaby

    Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

    Hey ladies, leo nimeona tuambiane ni mwanaume mwenye tabia gani huwezi kuwa naye kwenye mahusiano? Binafsi siwezi kuwa na mahusiano na mwanaume anayevaa boxer ya kitenge au mvuta sigara [emoji41]
  5. linahbaby

    Tulio single tujuane

    Habarin zenu..? leo tujuane tulio single na kwa nin tuko single [emoji174] mwenzenu niko single kwa sababu bado sijampta aliye ubavu wangu naangaika na mibavu ya watu mwshowe naumizwa tu
  6. linahbaby

    Challenge

    Challenge time, naanza mimi Mapebzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. linahbaby

    Nahitaji kumuacha ila najikuta siwezi

    [emoji120][emoji120]
  8. linahbaby

    Nahitaji marafiki wa ku-chat nao

    Habari zenu, mimi ni dada nina miaka 24 niko Mwanza nahitaji marafiki wa ku-chat nao na kubadilisha mawazo.
  9. linahbaby

    Msaada kwa hili tatizo: Nimepata uvimbe baada ya kumeza vidonge vya kupevusha mayai

    Niliingia period trh29 mwezi wa 6 uwa Nina tatizo la kutokomaa kwa mayai hvo unaipelekea kuchelewa kupata hedhi, siku ya 5 ambayo ilikuwa trh 3 nilitumia dawa ya kupevusha mayai iitwayo Over mit maana natafuta mtoto. Niliandikiwa kumeza vidonge viwili kila siku usiku kwa mjibu wa doctor...
  10. linahbaby

    Nauza mikoba mizuri

    Habari zenu wapendwa karibuni mikoba ya kisasa,ngozi na yakuvutia,nauza jumla na rejareja..jumla naanzia pic 3 bei 37000 jmla na rejareja 40000 napatikana mwanzapia unaweza nochek ili kuona disn tofauti tofauti.
Back
Top Bottom