Search results

  1. winston20

    Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

    Hii hali kumbe ni wengi tunaipitia,pole sn kikubwa mkabidhi MUUMBA wako[emoji120]
  2. winston20

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Hizi ni Decoys mkuu wanatupofusha macho mambo yao yapite
  3. winston20

    Nani anafuatilia Machozi ya wanyamapori katika mbuga ya Selous ambayo JNHPP imejengwa katikati yake?

    Kumbe Selou ni ndogo kiasi Icho mpaka kuwafanya wanyama wakose pa kwenda?
  4. winston20

    Sitosahau UKIMWI ulichofanya mtaani kwetu. Nyie watu wa mapenzi kuweni makini

    Upande wa mama walizaliwa kumi.Wakike 6,wakiume wanne.wajomba wote wako hai Ila huu ugonjwa ukawabeba Mama× Mama mdogo× Mama mdogo× Mama mdogo× Mama mdogo× Mama mdogo× Baba nae akaenda wakatuacha wadogo sn.Huu ugonjwa hadi leo umetuathiri sn kisaikolojia.ila MUNGU ni mwema tunapambana
  5. winston20

    Timu ya yanga inachezesha wachezaji wengi wa nje kuliko wazawa

    Kwenye kikosi wazawa hujawaona au macho huna? mpuuzi kama wapuuzi wengine [emoji1745]
  6. winston20

    Orodha ya waandishi wanaofanana kwenye utunzi wa hadithi zao

    Kuna Kelvin Mponda pia yuko vizuri sana
  7. winston20

    Mwenye soft copy ya riwaya ya mkimbizi

    Numekucheki inbox mkuu
  8. winston20

    Kisa cha maiti ya Anna Fritz na vifo vya wanaume waliombaka

    Bwana Steve naona umerejea vizuri,[emoji109]
  9. winston20

    Tofauti ya Tanzania na Afrika Kusini

    Asnt mkuu,najikuta nshafika tayari [emoji23][emoji1666]
  10. winston20

    Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

    Next time decoy ziwe za kutosha[emoji23][emoji23] Anyway Apostle umekaa kimya sn nowadays
Back
Top Bottom