Mwenye soft copy ya riwaya ya mkimbizi

Mimi nilikitafuta kwa udi na uvumba mtu alinitumia kutoka huko dar soft copy iliishia hapo tiga kampata the barstard kuscan ndo kipengere hata sijui huwa wanascann vipi labda tuwasiliane unielekeze nikusaidie
Unatumia nambie unatumia jina ganii nkutafte.....
Kuna application inaitwa cam scanner unascan tu inbatch
 
Kuna iziii Ido na ten chapters alie nayo anisaidie jamn
PXL_20240323_105653641.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom