Search results

  1. E

    Nafikiria kuachana na kampuni ya simu TIGO ....

    mi mwenewe leo najitoa..cjui ni cmu hangu vocher haziingiii toka asubuhi..Hapa mjini Arusha..hawa jamaa ni kuachana nao tu..
  2. E

    From the bottom of my heart sitaki mwanaume wa Dar

    Njoo kigoma..tukupe mavitu ya kongo..ikujeee ikujeee...
  3. E

    WANAWAKE wameumbwa kwaajili ya wanaume!!!!

    kaka yani katika thread ya maana kwene jf kuliko zote..kuanzia jf imeanzishwa nii..uko vizuri kaka uliyoyasema ni kweli mtupu.. Solution...usikubali kuoaa wala kuwa na demu...kuwa single tu..achna nao hawana jipya...wameumbwa ajili yetu...so ...hawa ni vivumishi tu kwene maisha...achana nao
  4. E

    Huyu kaka jamani~~~ Nimjibuje mie!

    acha unabe we dada kwani wafupi ndio hazingii...we mbona kubwa hatusemii.,.
  5. E

    Looking for someone to share life with!

    mimi 27 maisha haingalii age afu nipo arusha..ctopenda kuish dar..kama vp..
  6. E

    Warombo,Wamachame,Wakibosho si wachagga

    Old moshi ni Tarafa na si kabila Kuna tarafa ya old moshi mashariki na magharibi tarafa ya old moshi mashariki kuna vijiji vya tela, mbokomu, mahoma, kikakarara,kisamo,kidia tarafa ya old moshi magharibi kuna vijiji vya mdawi, kirrua, mowo nk..na ndani ya hivyo vijiji kuna mitaa kama maemben...
  7. E

    Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

    huna haja ya kutuma tuma msg kila dakika..honey nimeamka poa, haney nakunywa chai, hani leo ofisin kuna boa..haney naenda lunch..honey ndio nimerudi nyumban najiskia uchovu..honey nakula cha jion..honey gnite...na mwembwe kibaoo..sisi masingle tunaishi swaffi sana...
  8. E

    Maneno yenye tafsili mbaya kwenye baadhi ya makabila!!

    *****...kwa kichaga ndiZI mbivu MBULA kwa kichaga mshangao...
  9. E

    TANESCO - Kulikoni Watanzania wenzangu?

    sio Dar tu wakuu Arusha mi naona mgao unaendeleaa sana..
  10. E

    Hivi uchaga ni kabila kweli? hebu angalia hii.........!

    mbona sisi Waarusha hamtudiscuss na kila iku maneno mapya ya lugha yanaanzia Rchuga..mfano wiki mbili zilizopita tumeanzisha neno jipya ..KWIKWI LAANA..YANI NZURI SANA..MANENO YOTE YAKO ARUSHA
  11. E

    Forbes releases African rich list...

    barkhresa hela zote sio zake grp la wengi..afu zake za kichawi
  12. E

    Uhuni niliofanyiwa na tiGO

    mambo ya cameroon hayo..wanakuuza ivo..
  13. E

    Usipoangalia haya yanaweza kukuondolea unadhifu wako

    wadada wengi kuwaita wazazi wao DADY..MUM,,.huku wazazi wao hata kidato hawajaenda!?
  14. E

    jaman wana JF mi ni mgen humu naombeni msaada wenu

    nitawapa mengi kuhusiana na Mali asili
Back
Top Bottom