Search results

  1. The Bandit

    Uchaguzi 2020 Maendeleo yapi CHADEMA wataleta tofauti na ya chama kilichopo madarakani?

    Kuna watu upumbavu na ujinga ni kipaji chenu.
  2. The Bandit

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Hivi sister zile mashine za kusaga mawe yawe madogo [Si makalasha yakutoa unga] huwa ni bei gani na sijaona mnazizungumzia kabisa hapa.
  3. The Bandit

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Itabidi niende Geita au Kahama au Mwakitolya kuangalia ramani siwezi baki town kuangaika buku 5 per day never.
  4. The Bandit

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Hivi migodi ya Geita huwa wanalipwa kiasi gani kusaga mawe nakumbuka mwakitolya Shinyanga tulikuwa tunalipwa elfu 10 kwa masaa kumi sema vumbi lake si mchezo.
  5. The Bandit

    Msaada wa kupata game: GTA 5

    Nenda hapa www.oceanofgames.com utalikuta then lipakue
  6. The Bandit

    Msaada wa kupata game: GTA 5

    Ocean Of Games - oceanofgames.com
  7. The Bandit

    Wasanii hii sasa imekuwa too much. Muimbe basi na upande wa pili

    Zuchu A.K.A chuchu naye ameua sana.
  8. The Bandit

    Life is not fair: Niliamini uwezekano wa kupata pesa kwa njia halali ni mkubwa sana...

    Hey sister ushauri wako pls nataka nizamie Kahama vijijini huko je kuna fursa huko.
  9. The Bandit

    Pep Guardiola ni kocha wa kawaida sana

    Na jana kawapiga 3-0 kipindi cha kwanza tena ndani ya dakika kumi kumi tu(25,35 na 45) na shukuruni VAR sana 5 bila ilikuwa zawadi yenu jana.
  10. The Bandit

    Tunasubiri ajira baada ya kumaliza chuo. Simulia nawe unahangaika vipi mwenzangu ...tu-share maarifa

    Kiongozi upo mkoa Mwanza ?,kama upo hizi kazi[kuvunja mawe] huwa mnazifanyia sehemu gani.
  11. The Bandit

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betting ni ngumu sana jana niliona nijaribu hii option kwa mechi tatu tu nikamuweka na liver lakini bahati haikuwa kwangu.
  12. The Bandit

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu ni kampuni gani nzuri kati ya sportpesa au princess bet maana naona betpawa wananinyima uhuru sana aisee.
  13. The Bandit

    Troublemaker leo nimetimiza miaka mitano ndani ya JF

    Hongera mkuu binafsi na Ma-ID kibao ndani ya miaka 4 tu.
Back
Top Bottom