Search results

  1. johnsold

    Ni utaratibu gani wa kufuata kufungua biashara ya uwakala wa huduma za kifedha kwa simu?

    sio kwamba sim card za watu zitaleta shida maan zinakuwa na alama za vidole za mtu mwingine
  2. johnsold

    Tuliowahi kuachwa: Ni changamoto gani uliyokumbana nayo baada ya kuona umeachwa?

    ila ukianz kufikiria jinsi mlivyokuw mnadate inabaki maumivu tu🥴🥴🥴 ila ilimradi tu skufaga acha siku ziende tu
  3. johnsold

    Nimegeuzwa Erick Omondi

    nlidhani nko mwenyewe kumbe tuko wengi yaan demu maslahi yake anatak atimiziwe ila yako kukutimizia sahau.....na bora na ww ankup visingizio me wangu ananyooka straight ansema hawezi kuja afu nikiuchuna hata wiki na yye vivyo hivyo anauchuna....ila maamuzi ya mwisho ni kutafuta ustaarabu...
  4. johnsold

    Tuliowahi kuachwa: Ni changamoto gani uliyokumbana nayo baada ya kuona umeachwa?

    ni hatar na nusu😂😂😂 tena usiombe ndo awe mtu wako wa kwanz kakuacha mbon utaisoma namba🤣🤣🤣🤣
  5. johnsold

    Je, umewahi 'kunyapia' namba kwenye simu ya mtu ili 'utesti' mitambo?

    namwambia nimeiokota barabarani wakati natembea kwenda misele
  6. johnsold

    Mapenzi yaliniumiza mpaka nikarudi shule

    swali hilooo😂😂😂
  7. johnsold

    Ni utaratibu gani wa kufuata kufungua biashara ya uwakala wa huduma za kifedha kwa simu?

    Wadau nataka kufungua ofisi ya uwakala wa huduma za kifedha za simu. Sasa sijui utaratibu unakuwaje ili kufanikisha jambo langu. Mwenye ujuzi naomba msaada hapo
  8. johnsold

    Wanaume tunaojua mapishi tukutane hapa

    hahahahaha kula kw mama ntilie jau sana tunakula basi tu kusogeza siku
  9. johnsold

    Wanaume tunaojua mapishi tukutane hapa

    katika kitu ambacho siwez fanya ni kupika masaa mawili mpaka matatu afu nakula kwa dkk 10 shenzii kbs
Back
Top Bottom