Search results

  1. JituMirabaMinne

    2010 BMW 320i vs Mercedes Benz C Class

    This week nmekutana na N43 mbili, moja kwenye E92 na nyingine kwenye E90. Nimewaonea huruma sana hao jamaa.
  2. JituMirabaMinne

    Mnaomiliki gari za kimarekani zina changamoto gani?

    Ni mazuri mkuu azima siku hata Jeep Grand Cherokee moja la mtu uendeshe upate Hemi la 5.7L, 6.2L au 6.4L Kuhusu mafuta usituulize. Ukiweza kujichanga Nunua Wrangler miaka michache nyuma ilikuwa ndio gari yenye depreciation value ndogo kuliko gari yoyote hata Toyota zilikuwa hazitii mguu...
  3. JituMirabaMinne

    Utafiti mpya wa reliability ya magari, BMW imeshika namba 3 USA

    Ila kuanzia BM za 2015 naona kuna uafadhali ukilinganisha na hizi za early 2000. Pia kwa Audi na VW kuanzia 2013 nao engine zao hazina majanga majanga labda mambo mengine. Mfano audi Q5 gari ina bonge moja la engine ila Gearbox kimeo.
  4. JituMirabaMinne

    Utafiti mpya wa reliability ya magari, BMW imeshika namba 3 USA

    Mjerumani anatengeneza gari moja anauza dunia nzima, tofauti itakuwepo kidogo sana kwenye emission standards. Siyo kama mjapani
  5. JituMirabaMinne

    Utafiti mpya wa reliability ya magari, BMW imeshika namba 3 USA

    Engine nyingi za BM kuanzia 2015 kuja huku mbele ni mawe.
  6. JituMirabaMinne

    Ulaji wa mafuta Toyota Premio

    Mkuu sikuhizi sikuoni, ile chuma EDE umeiuza?
  7. JituMirabaMinne

    Ulaji wa mafuta Toyota Premio

    Hii yako inakula vizuri sana. Nina mjerumani Cc2000 anakula 5Km/L kwenda kazini na kurudi ni 18km. Ili niende kazini kila siku na gari basi ni mafuta ya 20k
  8. JituMirabaMinne

    Epuka jambo hili kama gari yako imeibiwa masega(Catalytic converter)

    Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR. EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa ajili ya kupunguza joto(combustion temperature) hivyo kupunguza pia kutengenezwa kwa Nitrogen Oxide...
  9. JituMirabaMinne

    Nini kinasababisha taa ya blue kuchelewa kuzimika?

    Gari ikiwa na thermostat inawarm up haraka sana, hili ukiwaambia watu hata hawaelewi, wanaleta habari zao ambazo hazina kichwa wala miguu.
  10. JituMirabaMinne

    Nahitaji Audi A4 B7

    audi kama hii
  11. JituMirabaMinne

    Nahitaji Audi A4 B7

    .
  12. JituMirabaMinne

    BMW5: Naombeni Ushauri

    BMW 5 ndio gari gani?
  13. JituMirabaMinne

    Msaada Nimegundua Fundi anaweza ua kabisa gari yangu

    Tafsiri ya huo muungurumo anaolalamika jamaa unauelewa?
  14. JituMirabaMinne

    Msaada Nimegundua Fundi anaweza ua kabisa gari yangu

    Walioko Gulf wanaweka 5W 30 na joto la Gulf unalijua, Wewe uko Darisalama hapa unaweka 20W 50 hii ni hesabu ya wapi? Japan wanaweka 0W 20 maeneo yenye joto ndio 5W 30. Ukifunua Bonet wameandika
  15. JituMirabaMinne

    Msaada Nimegundua Fundi anaweza ua kabisa gari yangu

    Hiyo gari kwa mwenendo huo ikitoboa mwaka sijui. Mkuu, kuna mambo ni magumu hata kuyaelezea, Wangekubadilishia oil ya gearbox huenda ungekuwa gari ushaipaki unasubiri kununua gearbox au ushanunua gearbox nyingine kwa gharama kubwa Gearbox za CVT si mchezo kwa gari yenye 1nr najua ni miaka ya...
Back
Top Bottom