Search results

  1. Y

    Mtu wa kuuza duka anahitajika

    Anahitajika msichana Wa kuuza duka. Umri miaka 18-25. Duka liko Kiluvya. Mshahara maelewano. Simu 0714881606
  2. Y

    Transfer of cruide oil sales license in South Africa

    Habari za leo wan JF. Nawaombeni msaada wenu. Mtu toka S.Africa ameniandikia kunipa ofa ya kurithi leseni ya marahemu David Rusell aliyefariki kwa ajali. Baada ya mawasiliano marefu amenitumia email hapa chini ikitaka niende South Africa tukasaini mkataba ili leseni ya biashara iwe yangu...
  3. Y

    Nahitaji msaada nikiwa Korogwe

    Nitakuwa Korogwe kwa siku kadha. Nisaidieni sehemu gani nitembelee ili nipate totos.
  4. Y

    Lodge bei nafuu Korogwe

    Naomba msaada. Nitakaa korogwe kikazi kwa muda wa mwezi 1 hivi. Budget yangu ya guest house ni sh 15000-20000. Kwa mnaoifahamu Korogwe niwaombe msaada wenu. Ipi ni lodge nzuri kwa budget hii niliyopewa. Kwa sasa niko Newala. Mungu awabariki.
  5. Y

    Wapi naweza pata rafiki wa kike Tanga mjini

    Kwa wale wanaoufahamu mji wa Tanga maeneo gani nitembelee saa za jioni nipate rafiki wa kike. Mimi ni mgeni hapa Tanga mjini.
  6. Y

    Natafuta lodge au guest house - Tanga mjini 10000 - 15000/=

    Jamani naomba msaada wemu. Nitakuwa tanga mjini kwa muda wa mwezi 1. natafuta sehemu ya kufikia. Kwa anayefahamu naomba msaada. Mungu awabariki.
  7. Y

    House girl

    Tunatafuta mfanyakazi wa ndani (house girl). Tunaishi kibamba . Mimi na mke wangu ni watu wazima tumeajiri na hatuna mtoto mdogo. Awe mpenda usafi na mcha Mungu. Tutamsaidia kuendelea kielimu akipenda.
  8. Y

    Kupima maji ya kisima

    Naomba msaada ndugu zangu, nifahamisheni wapi wanapima maji ya kisima kwa hapa Dar es Salam. Natanguliza shukrani zangu.
  9. Y

    Frequencies, SR za citizen tv na k24 tv za kenya.

    Naomba msaada wa kupatiwa freq na sr za citizen na k24 tv za kenya. Natanguliza shukrani zangu.
  10. Y

    Natafuta maduka ya dawa za kichina.

    Naomba nielekezwe yalipo maduka yanayouza dawa za kichina kwa dar es salaam.
  11. Y

    Natafuta carburator

    Natafuta used carburator ya suzuki 410
Back
Top Bottom