natumia dish ,mwanzoni chanel zote za kiswahili zilikuwa zinaonesha sasa hamna,ntafanyaje ndugu zangu?na frequncy za tbc
Asante,Vip kuhusu fr za itv na star tv
ITV 3643H8545,STAR TV 4884V4900,MOZAMBIQUE 3655H3632 Channel ten 4065V 2848. Good luck!
Unaweza kutumia dish la ft 8 au ft 6 na umefunga lnb tatu moja ya C band utapata local channel za Tanzania kama kawa na NSS 12 Degree 57E Ku band K24 ipo ktk fr 11026 H sr 9690. Na Citizen ipo Degree 68E Ku band fr 12578 sr 3100 Pale zinapopatikana za Emmanuel Tv.
Lnb ya Ku ikiwa peke yake bila kupandishiwa ktk C band ya Aljazeera,unaifunga je?, ile pini ya kufungia waya ina tazama wapi? Juu,chini, au ubavu? Maana mimi nimefunga peke yangu bila fundi na napata Frequence zote isipokuwa hii ya Citizen. Tafadhali niongezee maujuzi kama umenisoma. Icheki alafu nipe info. Je CITIZEN ipo muda wote? Na Signal ngapi? Ikiwa zaid ya 52 nadhani ni mafanikio.