Search results

  1. Comrade DD

    Kiwanda kingine kikubwa Nchini Ukraine chaangukia kwenye mikono ya Warusi

    Kiwanda kikubwa cha Avdiivka Coke Plant kimeangukia kwenye mikono ya Warusi.kuanguka kwa Adviivka coke plant inaonyesha jinsi gani defence ya mji wa Avdiivka imeferi. Warusi sasa wanafanya mashambulizi makubwa zaidi ili kuingia katikati ya mji
  2. Comrade DD

    Natafuta mwanamke wa kuwa na mahusiano nae

    Natafuta mwanamke wa kuwa na mahusiano nae. *Nilikuwa na mke ila kwa sasa tumetengana *nina mtoto 1 *Kipato changu cha kawaida sana(kidogo) *Umri wangu miaka 30 *sichagui umri wala idadi ya watoto uliokiwa nao, kikubwa kupendana na kujali afvya ndo kitu muhimu sana maana dunia imebadilika...
  3. Comrade DD

    Fundi umeme wa majumbani nipo hapa, nitafute nikufanyie kazi kwa bei rahisi

    Fundi umeme wa majumbani nipo hapa dar es salaam ila naenda sehemu yoyote ile.nafanya wireling ya kisasa kabisa na nina uzoefu wa kazi nyingi tu. Nitafute tufanye kazi kindugu kutokana na hali ya maisha ilivyo. Pia nafunga vifaa vya umeme kama vile heater, mafeni , pump.na madishi pamoja na...
  4. Comrade DD

    Eneo lenye nyumba ya kawaida linauzwa maeneo ya Ukonga (Kipunguni B) Moshi bar

    Nyumba ya kawaida yenye eneo kubwa inauzwa maeneo ya kipunguni B(moshi bar).ukubwa wa eneo ni (mita 25 kwa mita17). Lipo mbele kabisa na barabara ya mtaa na pia lipo mita 350 kutoka barabara ya rami. Bei Tsh 20 milioni Kwa mawasiliano piga namba 0652868486 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Comrade DD

    INAUZWA Feni original aina ya Evernal inauzwa kwa bei ya Tsh 40, 000

    Feni aina ya Evernal inauzwa kwa bei poa kabisa yani sawa na bure. Wala aina tatizo lolote lile na kama ukitaji kufungiwa basi utaongeza elfu 10. Nipo Dar Mawasiliano: 0652868486 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom