Kiwanda kingine kikubwa Nchini Ukraine chaangukia kwenye mikono ya Warusi

Comrade DD

Senior Member
Apr 27, 2020
181
320
Kiwanda kikubwa cha Avdiivka Coke Plant kimeangukia kwenye mikono ya Warusi.kuanguka kwa Adviivka coke plant inaonyesha jinsi gani defence ya mji wa Avdiivka imeferi.

Warusi sasa wanafanya mashambulizi makubwa zaidi ili kuingia katikati ya mji

 
Kiwanda cha Avdiivka coke plant
images%20(14).jpg
 
Hivi hivyo vita havijaisha tu ina maana maeneo yanayoshikiliwa na Russia bado hayana amani na lini yatakuwa na amani?
 
Back
Top Bottom