Search results

  1. Keen

    Errors in genesis

    Studying and interpreting the Bible is a sacred occupation. Ellen White points out, ?all who handle the word of God are engaged in a most solemn and sacred work.?1 The work is not an end in itself, but the insights obtained are to be shared with those who are in darkness so that they may walk...
  2. Keen

    Tanzanian president Magufuli trampling on tenets corporate governance in his overzealous populist

    JPJM has been a public servant for over 25 years. Moreover, he has had the privilege of serving at a ministerial level for more than 10 years. For sure, he is well informed and his decisions are founded on past experience about the operation of some of the critical public units such as TRA. JPJM...
  3. Keen

    Nafasi ya Spika wa Bunge CCM

    Ccm ina wenyewe, sitta upo?
  4. Keen

    Mwisho wa unafiki wa Mengi!

    Emmanuel Buhohela (mwandishi wa ITV) amezunguka nchi nzima na Magufuli aki-report mikutano yote na wakati mwingine akimpamba Magufuli kuliko uhalisia wa mikutano yake na kupitia ITV, mbona sikuwahi kusikia Magufuli analalamika na pengine hata kuomba ITV isirushe mikutano yake? Binafsi sikuona...
  5. Keen

    Mwanyamaki Kumburuza Mwakyembe mahakamani

    Well said!
  6. Keen

    Mwanyamaki Kumburuza Mwakyembe mahakamani

    Kwanini majimbo hayo tu? Anyway, ukawa wajipange upya ila kama tume itaendelea kuwa hivi, labda iwe na wajumbe wote malaika ndiyo watangazwe washindi!
  7. Keen

    Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC ameyakataa madai ya Lowassa na Mbowe.

    Maramia, you have a point! I saw it coming! Read critically the text below about ICC "ICC at a glance The International Criminal Court (ICC) is an independent, permanent court that tries persons accused of the most serious crimes of international concern, namely genocide, crimes against...
  8. Keen

    Mwanyamaki Kumburuza Mwakyembe mahakamani

    Ningeweza kuamini kuwa tumeshinda kihalali kama wenzetu wa ukawa wangekuwa na fursa ya kuthibitisha kuwa matokeo ya urais yalliyokuwa yanatangazwa na mwenyekiti wa tume ndiyo yalivyokuwa katika majimbo husika!!
  9. Keen

    Mgomo Wa Walevi

    Kuzuia unywaji wa bia Tanzania ni ngumu kama vyama vya upinzani kutoa mgombeaa urais mmoja mwaka huu!
  10. Keen

    Hivi ITV hawana watu waliobobea habari za kimataifa?

    Huwa nafanya hivyo pia, hongera kama ulishagundua mapungufu ya ITV. Star TV wako vizuri sana kwenye habari za kimataifa. Wana mchambuzi wao mzuri sana.
  11. Keen

    Tumkatae Mizengo Pinda na watendaji wa aina yake

    Pinda ni mzigo!
  12. Keen

    Mamlaka husika hebu lioneni hili

    Observation nzuri, lakini hatuna utekelezaji wa karibu kwa mamlaka husika kwani hata ukienda ofisini kwa wenye mamlaka ya kisheria kushughulikia jambo kama hili utaishia kupokea majibu ya kuudhi.
  13. Keen

    Freeman Mbowe hatarini kuumbuka, TPDC waweka hadharani gharama za Ujenzi wa Bomba la Gesi

    Mbuyu ulianza kama mchicha. Hata D. Kafulila alipoaanza kwenye ESCROW aliambiwa ni "tumbili", mwisho waliomwambia tumbili wamegeuka kuwa two-mbili na wengine wanasubiri kuwa two-mbili!
  14. Keen

    Wizi Mabibo Hostel

    Message sent!
  15. Keen

    Wawakilishi wa TFF, Azam nje

    Kama lengo lao lilikuwa kutolewa na si kushinda kombe uko sahihi wametolewa kiume, otherwise hakuna sababu ya kuzunguka zunguka, wamezidiwa mbinu za kuwawezesha kuendelea na mashindano, over!
  16. Keen

    Kisura

    Score=15%
  17. Keen

    Utaufikia umri huu?

    Mkuu sana, kuna starehe za aina nyingi, hasa ngono tena ile zembe!
  18. Keen

    Diallo: Rais ajaye awe dikteta mzalendo

    You have a point!
  19. Keen

    Ushauri kwa mhariri wa BBC Swahili na Salim Kikeke

    Siyo "muhariri" ila ni "mhariri"
Back
Top Bottom