Search results

  1. Kijana Mstaafu

    Playlist kali ya Harusi 2024

    Uko single remix by Rayvanny
  2. Kijana Mstaafu

    You can change your Genetic code

    Transformation. Yuko sahihi.
  3. Kijana Mstaafu

    TANZIA Bilionea Mustafa Sabodo afariki dunia

    Hahaha nilikuwa pale Mwongozo chini ya usimamizi wa Mwaipungu😁😁😁 Yale maji yametusababishia PE sana.
  4. Kijana Mstaafu

    TANZIA Bilionea Mustafa Sabodo afariki dunia

    Pale Lindi Sekondari tumetumia sana maji ya Bomba na tulikuwa tunayaita ya Sabodo maana tuliambiwa aliyefanikisha yafike shuleni aliitwa Sabodo. Mpaka namaliza form 6 pale 2016 sikuwahi kumfahamu kabisa Sabodo hata kidogo. Yale maji yalikuwa na chumvi sana, ukiyaoga lazima utumie Omo ili...
  5. Kijana Mstaafu

    Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

    Kwa Kipimo kingine, mizimu ndiyo miungu pia. Kuna jamii ambazo ziliamua kuabudu wale watu ambao walionesha uwezo mkubwa sana na hivyo hata wale watu walipokufa sifa zao ziliendelea kutangazwa kwa utukufu mkubwa. Yesu ni mfano wa watu waliotukuzwa na kuitwa Mungu. Krishina na wengine wengi...
  6. Kijana Mstaafu

    Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

    Wanakulinda kiroho nawewe unawalinda kimwili. Wenye mwili ndio walianza kuwa dhaifi hivyo wakapoteza ulinzi kiroho.
  7. Kijana Mstaafu

    Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

    Hapana, Ibada ni kwa Mizimu au Wahenga au Mababu. Hierakia iko hivi; MUUMBA ambaye kihalisia ni Giza la Kimiminika (Fluid Darkness) Sheria za MUUMBA (Divine Laws) Viumbe katika familia zote. Hapa ndipo wanakaa na Wahenga. Maat au Sheria za watu kuhusu mazingira. Hapa ndipo mahusiano ma...
  8. Kijana Mstaafu

    Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

    Hata sisi tulishindwa kuilinda mizimu maana swala la ulinzi ni la pande zote. Unavyoona waislam wanafanya jihad na wanasambaza dini kwa njia zote wanazoweza, wanalinda jina la Allah na nguvu zake. The same kwa Wakristo. Unatakiwa kuwalinda mizimu yako na kuorithisha kwa kizazi kijacho ili...
  9. Kijana Mstaafu

    Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

    Ndio maana nikasema Kuna utata katika kiuelewa haya mambo. Uelewa kuhusu Mungu una utata mwingi maana Kila kundi linafafanua Mungu kwa uelewa wao. Binafsi sipendi kulejelea uumbaji kwa kutumia Mungu. MUUMBA aliweka taratibu au Sheria zitakazosimamia Uumbaji na viumbe wote bila ubaguzi au...
  10. Kijana Mstaafu

    Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

    Iko hivi; Kuna uhalisia, kuna zana na kuna maana walizonazo watu kuhusu uhalisia na zana. Uhalisia ni jumla ya mambo yote yaliyo nje ya utawala wa mtu. Zana ni jumla ya vifaa anavyotengeneza mtu ili kumsaidia kuenenda katika mazingira na kukabiliana na changamoto na vikwazo vya kimazingira...
  11. Kijana Mstaafu

    Miungu yetu ilishindwa, Mizimu yetu ikapigwa, Sasa tumekuwa Jamii iliyoanguka na hatuna Tumaini la kusimama

    Asante kwa tafakari nzuri. Ninachokiona hapo ni utata tu kuhusu uelewa kuhusu Mungu. Kimsingi napendelea sana matumizi ya neno MUUMBA kwasababu halileti utata sana kiuelewa. Chukulia Mungu kama sehemu ndogo tu ya uelewa wa Kundi fulani dogo kwenye kundi kubwa la watu kuhusu nguvu ya asili...
  12. Kijana Mstaafu

    Utajiri wa Apple Inc. ni mkubwa kuliko GDP ya Afrika

    Mkuu nahisi chanzo chote ni pale ulipochomekea nadharia ya kimagharibi ya roho mtakatifu
  13. Kijana Mstaafu

    Utajiri wa Apple Inc. ni mkubwa kuliko GDP ya Afrika

    Mkuu wewe unayajua sana haya masuala, umejibu vizuri sana. I wish tuwe na maongezi mbali na hapa jukwaani. Kama unaridhia nitaarifu kwa PM au hapahapa
  14. Kijana Mstaafu

    #COVID19 Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona

    Ugonjwa hatarishi unaojulikana baada ya mtu kupimwa... kabla ya hapo walikuwa wanadunda tu. Hizo fix ili watu waogope wakafakamie chanjo
  15. Kijana Mstaafu

    #COVID19 Israel yatangaza kisa cha kwanza cha 'flurona'

    Hii mijamaa ni mishenzi kabisa. Hatutishiki, sisi ni mawe kwelikweli
  16. Kijana Mstaafu

    #COVID19 WHO yaonya kuhodhiwa kwa chanjo kutoka na aina mpya ya kirusi cha Omicron

    Sisi tunapiga nyungu, hata michanjo yao wanadungwa wazembe wachache. Wahodhi tuu sisi hatuyahitaji
  17. Kijana Mstaafu

    Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

    We jamaa mbona unatenganisha BUKOBA na KAGERA?!
Back
Top Bottom