Search results

  1. BIG X

    Ugonjwa gani huu

    Mmh!! Harufu zingine zinapitiliza bwana.
  2. BIG X

    Ugonjwa gani huu

    Matunda najitahidi sana kula
  3. BIG X

    Ugonjwa gani huu

    Habari, Hii siku ya tano sasa nikienda kukata gogo kwa choo harufu inayotoka si mchezo, mi mwenyewe nataka kukimbia, utadhani mfereji wa maji machafu. Jamani ni tatizo gani hili!!.
  4. BIG X

    Airtel - Mtufikirie wateja wenu kwa hili!!

    Wengi tumezoea kuingia yatosha. Lakini utakuta muda wa maongezi umeisha lakini MB za Internet hujatumia hata kidogo. sasa kwavile nakuwa nahitaji tena muda wa maongezi inabidi niingie yatosha tena. Nikiingia tena zile MB za awali zinafutika kabisa, sasa huwa zinaniumaga sana. Kwanini hizo MB...
  5. BIG X

    Ridhiwan Kikwete: Kila Kijiji kupata Trekta Jimbo la Chalinze

    Hivi inakujae Baba anaonekana Kijana, Mtoto anaonekana mzee. Vyakula gani hivi!!!. Loh!!
  6. BIG X

    Picha za kuapishwa kwa Uhuru Kenyatta na akiwa kazini.

    Jamaa sijui anapata majani.....
  7. BIG X

    Star tiiiiiiimes suuuuuucks

    Easy TV ipo safi
  8. BIG X

    Sehemu ya kwanza ya Madudu Yaliyonikimbiza CHADEMA, Kesi ya UBAKAJI/RAPE inayomkabili LEMA UK

    Mfa maji haachi kutapatapa!!. Kama hayo unayongea ndio uhuni kwa chadema, basi kuna chama kitakuwa na u-professor kabisa kwenye hayo mambo wakati chadema ndio kwanza hata chekechea hawajamaliza. Kila la kheri huko uliko na wanaokutunza.
  9. BIG X

    Maziko ya Wakili Nyaga Mawalla na Kanusho la Wizara ya Maliasili

    Hizi sheria zikoje. Na Kenya nao walikuwa wepesi kukubali mtu ambaye si mkenya kuzikwa kwenye nchi yao. Taratibu zikoje!!.
  10. BIG X

    Picha za Mtuhumiwa wa mauaji ya Padre Zanzibar

    Mi nahisi kuna kamchezo kamefanyika. Lililofanyika asilimia 99 si kweli.
  11. BIG X

    Nilichokiona muhimbili jana

    Sijui tuombe au tusiombe yatokee kama yale ya form IV, sijui huku itakuwa kwa style ipi. Napenda nchi yangu.
  12. BIG X

    Ushauri wa bure '2013'

    Kama hujawai kuambiwa na mkeo kwamba we ni mtamu. Basi ujue umrizishi mkeo. Jaribu kuwa mbunifu katika mwaka huu wa 2013 hadi siku ukisikia mkeo kakwambia hivyo ujue umefaulu. Happy New Year.
  13. BIG X

    Kiswahili Lugha yetu

    Knowledge kwanza, Lugha baadae sio!!.
  14. BIG X

    CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

    This time nadhani CDM ikiweka hata JOGOO itashinda tu.
  15. BIG X

    Doctor Having Sex With Female Victims Before Performing Illegal Abortions On Them

    Dah!! huyo mwandishi wa habari naye kiboko...,
  16. BIG X

    Aliyekuwa DIWANI wa CHADEMA ahamia CCM... asema LEMA alikuwa anamtaka KIMAPENZI

    Duh! bora ulivyotimuliwa maana ungekuwa bonge la kirusi ndani ya CDM.
  17. BIG X

    Utajuaje mpenzi wako kama hakufanya mapenzi?

    Yanini niumize kichwa mie, una-assume tu hakuna kidumu kilichopita!!, songa mbele na maisha. Kama ni mpango wa Mungu atakuonyesha tu kwa namna yoyote ile kwamba mwenzio anacheza rafu.
  18. BIG X

    Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

    Tabia zingine nadhani ni hulka za watu, Kila chuo kinasemwa kwamba hao watu wapo, wengine hata sio wanafunzi ila wanajichanganya na wanafunzi au maeneo ya wanafunzi ili wajiongezee soko. Mjini shule.
  19. BIG X

    Napata tabu mie!!!

    Na kila binadamu atabeba msalaba wake!!, Tukifanana itakuwaje!!.
  20. BIG X

    Napata tabu mie!!!

    We nawe! hebu fanya hii hesabu kwanza 0.5x=(1/(4x)), chokoza x.
Back
Top Bottom