Search results

  1. S

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    Thnx kwa alie anzisha Uzi huu tumepean taafa kwa kupeana moyo na sasa imekua kweli na tumefanikiwa kuhama, Ahsanten wote
  2. S

    Uhamisho wa watumishi 2013/2014

    nlipata tetesi kwamba kile kitabu cha orod ha ndo kilikua kinaandaliwa wk iliyopita, tusubiri hizi siku kadhaa, manake imeingiliana na hizi s/kuu
  3. S

    Tamisemi

    yanitunasubiri taarifa za uamisho, na hamna majibu yanayoeleka hadi sasa watutangazie basi kama mwaka huu hamna uamisho tujue
  4. S

    Haya maandishi ya kwenye nguo sasa yamepitiliza.

    Mwingine alikua amevaa t-shrt imeandikwa I f****k like a beast.
  5. S

    Tumaini university Makumira ufisadi wazi wazi

    Ndugu ni 30,000 tsh. Ila tupo pamoja ingawa inaonekana kama move ni ya darasa flan 2, wanaiba wazi wazi ilitakiwa ianze mwanzo wa semister ila imeanza ktk, kingine wabunge wa madarasa walipitisha bila kuhoji wahusika inaonekana ina influence kutoka juu au katikat ya uongozi.
  6. S

    I phone 3Gs ipo sokoni.

    I phone 3Gs, 32gb, IOS 5.01(hizo ndo specification) inauzwa ipo Arusha, na bei ni 500,000 Tsh, kwa mawasiliano zaidi call 0713445595
  7. S

    Nokia N86 8MP INAUZWA.

    250,000 Tsh.
  8. S

    Nokia N86 8MP INAUZWA.

    Ipo fresh na ktk hali nzuri, kama unahitaji check na number 0713776337
  9. S

    Warangi wana Sifa Gani..?

    1. Usafi ni sifa yao kubwa mfano wakike akiosha ndala yupo radhi akanyae tope kulko lapa liguse. 2. Vicheche si wa kike au kiume. 3. Uvivu (kukaa vijiweni na kukimbilia mjini kwa ndugu). 4. Wachoyo na wabinafsi. 5. Wanaume hawajali familia zao wanakula mgahawan siku njima kuanzia chai...
  10. S

    Kafumu umetuangusha

    For the 1st time ndo kaongea bungeni jamaa hajisomi, ndo kachaguliwa kwa ajili ya wananchi, wakati mwenzake amechaguliwa juzi mwezi wa 4 kashauliza maswa na michango ya kutosha, hapa ndo tunaona tofauti kati ya kiongo na bora kiongozi.
  11. S

    Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

    Huyo nyuma ya Haji mponda anaitwa nan coz kasinzia alafu kuna m2 kampigia simu kumuamsha anajidai saivi anasoma nn cjui.
  12. S

    Bungeni: Mjadala mkali waendelea!

    Wabunge wengne hawajisomi huyu mbunge wananyumbu simsomi kabisa.
  13. S

    Kutoka bungeni: Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Le mutuuz...anatoa macho kwel ya Mungu mengi, kingereza kina aibisha kweli yaan bora tu kiswali kitumike.
  14. S

    Arumeru hali si shwari mabomu ya machozi yatumika kusambaratisha watu.

    Bora wamelinzisha manake hlio eneo nikubwa mno naliemezungushiwa electric fance niliwahi kwenda na miguu nikazunguka kuanzia saa 5 mpaka saa 12 nikamaliza upande mmoja 2, na bado upande wa pili na wanafuga farasi na viwanja vya gofu, nawanga mkono 100%
  15. S

    Kesi ya Lissu: CCM wakodi shahidi toka Dar es salaam

    Hawa jamaa wanachokifanya ni kuhamisha mawazo ya cdm na kuwafanya kuhangaika na mambo yasiyokuwa na msingi mfano kesi zisizo na tija, mwisho wasiku cdm wapotee kwenye lengo mfano campein ya M4C. Ushauri wangu Cdm wajipange kuwadhibit hawa watu.
  16. S

    Tulikutana Pasaka na Pasaka hii amenitema.

    Mosha uoshwa ila ucjali bro hapo ujaonesha sababu ya kuachwa 2liza kichwa labda tarehe pia zina changia.
  17. S

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Viva Chadema, wana wa meru tunakuja kusuport sababu tunatambua umuhimu wenu katika kuliondoa jini CCM MERU.
  18. S

    Kauli mbiu ya CHADEMA nguvu ya Umma na wabunge 23

    Kama ujui nguvu ya uma mulize El huko Arumeru au Yule jamaa wa kudadadeki (lusinde)
Back
Top Bottom