Search results

  1. Mtalebani Mweupe

    Ajira za PBZ Bank kwa Watanganyika

    Changamoto Sana hapo Jamaa.
  2. Mtalebani Mweupe

    Kwanini watoto wa Mzee Mchonga hawana nyadhifa kubwa Nchini?

    Pune: Tanzanian citizen on business visa held with cocaine worth Rs 30.4 lakhs Hassan Mwinyi Mchonga
  3. Mtalebani Mweupe

    Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Mkuu ndugu yangu ana account ya 10M tulifungua wote December 2023. Yeye amepata gawio la 86,700 Kwa mwezi WA December Tu. Gawio la 2M ni Kwa miezi miwili, ina maana Kwa mwezi Mmoja ni 1.1M. Hapo ni December 2023 na January 24 Tu.
  4. Mtalebani Mweupe

    Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Mimi niliweka 129M December katikati Mpaka sasa Nina 131M. Gawio la December na January ni 2.2M The more you have ndo unapata gawio zuri zaidi
  5. Mtalebani Mweupe

    Msaada kwa anayefahamu TINDWA MEDICAL AND HEALTH SERVICES CO LTD

    Nenda karibu Bahati yako Mkuu. Huenda ukadumu zaidi ya Mwaka. Ila sijaelewa kama kweli wamekuita Pwani au uende ofisi Zako pale Masaki. Mimi nilienda kufanya interview pale mwaka Jana, pako local Sana sioni kama panafaa ila ni kuweza kumudu changamoto Tu. Na wanaofanya interview ni vijana...
  6. Mtalebani Mweupe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu ilikubali. Nili uninstall nikadownload moja Kwa moja kwenye website Yao ndo imekubali. Hapa naangalia mpira Tu kupitia Unlimited ya Airtel
  7. Mtalebani Mweupe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mimi nili Download Yacine TV ikafunguka fresh tu sema ili ifanye kazi inahitaji Ile supporting app (YTV Pro) ndio inayokataa. Inasema it's not supporting Ile TV. Ntatuma picha jioni halafu utanielekeza zaidi mkuu.
  8. Mtalebani Mweupe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Ni Haier HQLED Google TV Android 11
  9. Mtalebani Mweupe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu add-ons za kuangalia mpira nazipatia wapi? Kama Una link naomba share ni download kwenye TV
  10. Mtalebani Mweupe

    TV4Sale Nauza TV kwa bei za store

    Mkuu kuna 1.1m
  11. Mtalebani Mweupe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Airtel hawatoi laini pekeyake Kwa hivi vifurushi vya Unlimited?
  12. Mtalebani Mweupe

    Ajira za Wizara ya Afya

    Naona hata Leo mtandao unasumbua
  13. Mtalebani Mweupe

    Kulikoni self microfinance fund, mbona hawaitwi kazini

    Mliofanya interview mwaka Juzi hebu tupeni maswali mliyofanya kama mtayakumbuka.
  14. Mtalebani Mweupe

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Mkuu Una TCL inch 50 - 60 ambayo ni android? Bei?
  15. Mtalebani Mweupe

    Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Kuwekeza UTT ni Kwa wale ambao hawategemei hela za Haraka.
  16. Mtalebani Mweupe

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hata Mimi sijazipata, labda offer inachagua laini na laini
Back
Top Bottom