Search results

  1. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Watu wanatoka mbande mpk dodoma mjini kwa toyo sembuse hapo mtumba tu
  2. M

    Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Ulianza kwa kuponda vijana wa sasa hawajui historia na wanashinda mitandaoni tu nikajua utakuja na hizo sababu za kuteuliwa kwa Dotto Biteko sasa kumbe we mwenyewe hujui na bado unajiuliza maswali tu. Ungeweza kutoa findings zako na maoni yako bila kuwasema vijana wa sasa
  3. M

    Pump ya mafuta

    Wanasema mafuta ya sikuhizi ni machafu pia. Lakini kuweka mafuta kiduchu ndio chanzo kikubwa
  4. M

    Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

    Wengi wao hawazijui coz kupatikana ni ishu lakini trust me ukiipata Edfier umepata kila kitu unachokiitaji kwny mziki na movie. Hii niliyonayo inazaidi ya miaka 8 na mziki wake ni uleulee
  5. M

    Nimenunua home theater LHD657 Model, lakini cha ajabu ina Sauti ya kawaida sana

    Me natumia edifier. Hii kitu ni zaidi ya speaker. Haziharibiki wala hazichuji mziki wake ni balaa
  6. M

    Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Kwa tulio dar es salaam bana kuna sehemu ambayo kama una usafiri unaweza ukashawishika kula mbususu kwenye maeneo hatarishi likiwemo eneo la maegesho la magari la mlimani city. Kwa tuliowahi kula sehemu hiyo tukutane hapa na ilikuwaje
  7. M

    Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

    Hongera sana kaka. Kuongea na mzazi ni jambo muhimu sana hasa ukiwa nao. Real appreciate bro
  8. M

    Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Pole sana dada kwa maswahibu yaliyokukuta. Ila kiukweli wanawake wengi hsn huwa wanachepuka. Shida kubwa tuliyonayo wanaume ni kusamehe ni ngumu sana. Kugongewa kunauma sana. Vumilia tu atabadilika mwenyewe akipenda.
  9. M

    Niwe mmoja wa WanaJF mwenye nyumba kali

    Huo ni uwongo wa mchana. Labda kama hujawahi kujenga ndio utaiona Milion 70 nyingi. Mpk hiyo nyumba iishe inavyotakiwa standard nahisi haitapungua milioni 200. Labda kama uamue ujenge chini ya kiwango ndio itapungua 150M.
  10. M

    Nimempenda teller wa benki fulani

    Jifunze kuandika kwanza
  11. M

    Nilishawahi kuomba kazi ya kuwa bodygurd ili nitimize ndoto yangu ya ku-date na Wema Sepetu

    Aisee hiyo ni chuma chakavu mzee. Ana shimo kubwa huwezi amini. Lkn tafuta hela tu watoto wazuri wote unaowaona mjini wanalika tena vzr kbs. Tafuta pesaaaa na connection tu. Kudumu nae itategemea na kiasi cha pesa ulichokua nacho pamoja na show utakayompa
  12. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nguvu za kiume na PESAAAAAAA
  13. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tunasubiri kimasihara ya hali ya mvua
  14. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    TUTAFUTE HELA. NARUDIA TENA TUTAFUTE HELA. Ukiwa na hela utachakata mbususu mpaka uzikinai
  15. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ni wanafunzi wa vyuo wa field hao mkuu so ni watu wazima kabisa
  16. M

    Duka la Fred Vunjabei lavunjwa ngazi Zanzibar

    Ni ukweli kabisa nguo za Fred ni nzuri zikiwa mpya ukizifua zinapauka na kupoteza quality yake kabisa. Kuna jeans moja nilinunua vunjabei ya Dodoma ilikua nzuri sn ilivyokua mpya now imekua laini km surauli ya kitambaa
  17. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    H hahaha unaona umepitwa mpaka dhambi dadekiiii
  18. M

    Kuna watu na PhD zao wapo nyumbani hawana kazi, Rais Samia tafadhali saidia

    Hayo ni maneno ya kupeana moyo tu. Ni PHD gani huyo aliemtaani hana kazi? Tuache kudharau elimu za watu. Unafikiri PHD ni sawa na form four nini? Au unafikiri ni rahisi kupata hiyo PHD?
  19. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Unajua kusimulia vzr sana. Hongera sana hii ndio maana ya kimasihara sasa
Back
Top Bottom