Search results

  1. Muokota Makopo

    Mliokuwa mnawatusi TTCL kwenye nyuzi mbalimbali mjiandae kisaikolojia

    Tangazo hilo hapo chini. Mnatafutwa kwa matumizi ya lugha chafu dhidi ya shirika.
  2. Muokota Makopo

    TTCL Fanyeni haya ili muwe Kampuni yenye ushindani wa kibiashara

    1. Kuboresha na kusambaza minara kwa wingi. Jitoeni kwenye ROAMING ya Tigo, jengeni minara yenu. 2. Kufungua matawi au ofisi zao. Vuta picha pale Kibaha, ofisi ipo sehemu moja tu. Je huko vijijini itakuwaje? 3.Ondoa wazee, wekeni vijana. Wazee wameshachoka wapo zama za Ujima(Communalism)...
  3. Muokota Makopo

    Mh. Ndalichako tafadhali futa usajili wa Chuo cha UCC

    Sharom Waziri Ndalichako twende moja kwa moja kwenye mada husika. Hiki Chuo cha Univerisity of Dar es salaam Computing Center sio chuo kabisa. Tafadhali kifutie usajili maana ufundishaji wao ni wa nadharia tu na si vitendo. Wiki 3 nyuma nilienda kuangalia miundombinu ili nimuapply mdogo wangu...
  4. Muokota Makopo

    Uchaguzi 2020 Katika uchaguzi wa mwaka huu mwezi Oktoba angalia mgombea mwenye sifa zifuataza

    Katika uchaguzi wa mwaka huu mwezi October angalia mgombea mwenye sifa zifuatazo: 1. Ataliweka taifa kuwa la amani, akamate wote wasiojulikana walioua, poteza na kuumiza watanzania wenzetu Wanaokamatwa kesi zao zisikilizwe na kumalizika ili haki ipatikane 2. Atakayeteua watu weledi wenye...
  5. Muokota Makopo

    Rais Magufuli mtumbue Bosi wa TTCL anaihujumu kampuni

    Shalom, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mh Rais tunaomba umtumbue boss wa TTCL haiwezekani tangu apewe uongozi mwaka 2016 mpaka leo kampuni ipo ovyo. Kampuni haijiongezi na pia huyo boss sio mbunifu kabisa. Yaani 52% wa watumiaji wa TTCL hawajui menyu ya kuangalia salio ipoje. Kampuni haina...
  6. Muokota Makopo

    Tanzia: Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia

    Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa! Hakika, Jabali limeanguka! Tumeondokewa pakubwa. Pumzika kwa...
Back
Top Bottom