Mliokuwa mnawatusi TTCL kwenye nyuzi mbalimbali mjiandae kisaikolojia

Jan 9, 2020
54
95
Tangazo hilo hapo chini.

Mnatafutwa kwa matumizi ya lugha chafu dhidi ya shirika.

IMG_20200918_174951_642.JPG
 
TTCL badala ya kushusha bei za vifurushi wao wanapiga mkwara wateja.

TTCL acheni ujinga, fanyeni haya:
1. Punguzeni gharama za vifurushi
2.Boresheni kasi na mitambo yenu kwa ujumla, hakuna atakayewatukana.

Mmeingia kwenye biashara za ushindani kubalini yote yakiwemo matusi na kashfa kutoka kwa wateja.

"UKIKUBALI KUFANYA BIASHARA YA UTUMBO, USIOGOPE NZI" by Nabii Shilla.
 
Wenyewe si wamesema Kuna watu wametumia lugha isiyofaaa..... Mzee ushawahi kutumiwa wito wa mahakama!!! Ukitumiwa wito Ukienda mahakamani
Utajua huko huko

Ova
hata wito kutoka kwa balozi, mjumbe au mwenyekiti wa kijiji wala polisi sijawahi kuitwa.
 
Itakua matumizi ya slogan yao "Rudi Nyumbani Kumenoga" Wazee wa kwa mpalange wanaitumia vibaya. Not fair.
 
Back
Top Bottom