Search results

  1. Poriposha

    CHADEMA inapita saa ya wokovu, tukiibuka hapa tumeshinda

    utakuja jua tu..... Changamoto ni muhimu si lazima wote tukubaliane na mawazo yako au ya flani!!! Lazima wengine tutakuwa tofauti tuu... Peoples poweeeer......!!!!
  2. Poriposha

    Jinsi ya Kutuma E-Mail yenye Executable files kwa GMail

    hii ndio ya ukweli 100% na hizo application zinamwezesha mtumiaji kuweke file lenye size kubwa hata zaidi ya 10 gb free
  3. Poriposha

    MTIZAMO: Namuona Mh. William Lukuvi akiwa Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania 2015...

    lala uamke tena pengine unaweza kuja na wazo jipya...hapo umeteleza mnoooooooooooo......
  4. Poriposha

    Huyu ndiye mwanaume wa shoka.

    Mmmmmhhhh.....inauma asikwambie mtu kavukavu bila ganzi..... Kwa upande wa pili kuna madhara yake kwanza usipo tahiriwa vizuri ngozi ya juu (govi) baadae inakuja kurudi tena so hapo sidhani kama anafanyiwa kitaalamu... nini kama vile mtu anakatakata nyama vile.... KINGA NI BORA KULIKO TIBA...
  5. Poriposha

    CHADEMA inapita saa ya wokovu, tukiibuka hapa tumeshinda

    asante kwa ujumbe... PEOPLES POWER.....!!!!
  6. Poriposha

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    bado la hawajacharuka ijumaa iwe week end nao wapumzike....uwiiiiii
  7. Poriposha

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    hivi kuna tatizo gan ukila nyama iliyochinjwa na muislam?? Mbona toka zaman kulikuwa shwari tu kwa utaratibu tuliokuwa tumejiwekea, KAMA ISHU HII INA MKONO WA MTU KUTAKA KUONA WAISLAM NA WAKRISTO TUNAPIGANA KWA TATIZO DOGO mwisho wake tutaishia kama kongo
  8. Poriposha

    Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    ndiko wanakotaka kuelekea watu wa kanda ya ziwa mbona mikoa mingine tupo shwari tu
  9. Poriposha

    Je kuna haja ya kukaa nyumbani kusubiri kuhesabiwa?

    Sensa ina lengo kubwa la kupata takwimu juu ya watu wote kuhusu hali ya kiuchumi, kijamii na kidemografia ambapo ktk takwimu za elimu itasaidia serikali kujua kiwango cha elimu kwa watu wote km kusoma na kuandika, level ya elimu. Pia takwimu za Umri zitasaidia kujua umri wa watoto wanaostahili...
  10. Poriposha

    DIRECT SITES for DOWNLOADS

    kama wataka softwares cheki hii filehippo.com
  11. Poriposha

    TCU SELECTIONS OUT "once and for all"

    Ku apeal inakuaje maana nimechaguliwa chaguo la hovyo
  12. Poriposha

    Msaada: laptop ina restart gafla nikiwa natumia internet

    Possible kuna software ina run pasipo kui-comand so hiyo n virus unatakiwa uwe na antivirus strong na iwe up to date then u scan compuper mara kwa mara au kama window yako n genuine download Microsoft Security Essential through microsoft.com then update na ku scan kama kawaida
  13. Poriposha

    Kwanini Wanawake wengi huvutiwa Na wanaume wenye Vifua vikubwa...

    Waaaaaauuuu nimeipenda hii halafu ukute kipenz anajua naye kuuchezea mwili hiyo moral yake aisee waaacha tuuuu!!!
  14. Poriposha

    National unv information technology specialist

    not later than 7th August 2012 NATIONAL UNV INFORMATION TECHNOLOGY SPECIALIST Tanzania Chamber of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) The United Nations Volunteers is the UN organization that supports sustainable human development globally through the promotion of volunteerism...
  15. Poriposha

    Nini siri ya miguu....?

    Hayaaa vijana naona wengine eti hoi wakiona mguu wa bia vp sasa ana huo mguu wa bia lakini HESHIMA, UAMINIFU, CARE ni zero kwake je hapo bado utapapenda?????? Msichana aweza kuwa hana huo mguu wa bia sijui, shape kali hana ila reception yupo pouwa plus heshima anayo, mchaji wa Mungu hapo mi ndio...
  16. Poriposha

    SimbaSC Mabingwa wa Kwanza wa Kombe la Urafiki 2012-13

    Tatizo wapinzani hawakubali matokea wao wamekali kuponda tu mfano huyu Anselm kwa kuwa yeye ni Yanga basi kashajijenge itikadi ya kuto kuikubali Simba hata ikifanya mazuri ndio maana soka letu linakuwa limejaa mdomoni lakini uwanjani hakuna kitu...Aaaaghrrrrrr TUBADILIKE
  17. Poriposha

    How many Triangles ?

    1. Hapo ktk kila mraba kuna pembe tatu 8 hivyo jumla zinakuwa 8x4=32.. 2. Mraba mkubwa wenye miraba midogo minne una pembe tatu 12... Hivyo kuna jumla ya pembe tatu 44.
Back
Top Bottom