Search results

  1. Shaddai

    Shule nzuri ya private ya day Tabata

    Habari, Natafuta shule nzuri private ya secondary iwe day. Pia mwenye contact namba za shule inaitwa Christ the king sec school na Mwenyeheri Anuarite sec school. Namba walizoweka mtandaoni hazipatikan/zimezuiliwa.
  2. Shaddai

    Natafuta shule ya kutwa ya O level iliyopo Kimara

    Natafuta shule ya Olevel iliyopo Kimara,nina mdogo angu form 2 nataka nimuhamishie. Mimi naishi Kimara Baruti
  3. Shaddai

    Msaada: Natafuta shule nzuri ya Sekondari Dar es salaam

    Wadau natafuta shule ya secondary kwa ajili ya mwanangu, yupo kidato cha kwanza, kwa hapa Dar shule gani nzuri napenda asome day, nipo Kimara ada isizidi 1,400,000
Back
Top Bottom