Search results

  1. B

    Nishaurini Mtanzania mwenzenu

    Habari zenu wadau?matumaini yangu muwazima na mnaendelea na majukumu yenu ya kila cku kadri ya kila mmoja alivyojaaliwa. Me ni ndugu yenu, Mtanzania mwenzenu nilimaliza kidato cha nne mwaka 2009 na kufanikiwa kupata cheti, tangu nimemaliza sijaweza kuyaweka vizuri maisha yangu kwa vile bado...
  2. B

    Kikwazo kaka mtu!!!

    Jamani habari zenu?nianze na historia fupi,miezi 8 nyuma nilipata kuunga urafiki na binti m1 kwenye mtandao wa fb,maongezi yalikuwa yenye kusisimua pmj na matani ya hapa na pale,miezi 4 nyuma tukapeana cm nomber,tuliwasiliana sana kiasi cha kila m1 kuifahamu life possition ya mwenziwe,love...
  3. B

    Nawaombeni maujanja ktk hili.

    Habari zenu wana jf,natumai muwazima na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila leo.Kama inavyotakikana kila siku mtu afikirie ni nini afannye ili kipato chake kiongezeke,hivyo,hata mm nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza vocha kupitia cm ya mkononi/kwa njia ya kuwarushia...
  4. B

    Si atakuwa ananipenda au najidanganya?

    Wana jf,i have confirmed myself that nampenda na nipo tayari kuwa naye kimaisha.Huyu msichana nashindwa kumsoma anawaza nn juu yangu,hapo mwanzo niliwahi kumu-approuch ila nilimsoma hakuwa tayari ingawaje hakunitamkia rasmin kwamba hakunikubalia,bac,nikaachana naye tukawa tu nipo karibu naye...
  5. B

    Nahisi ishakuwa kero.

    Wana Jf habari za leo,muwaje na shughuli zenu za kila siku?Nawaombeni kila mmoja kwa kutumia uzoefu wake juu ya masuala ya uhusiano anijibu, ni aina gani ya wanaume wanakuwa kivutio kikubwa kwa wanawake wengi hususan katika uwanja wa mapenzi?majibu yenu nahisi yataniwezesha kujitathmini maana...
  6. B

    Je maamuzi haya yatakua sahihi?

    Natanguliza salamu kwa wana jf wote nawatakieni afya njema.Naomba michangio yenu,me ni kijana wa makamo tu,bado nipo single kama miaka 3 nyuma nilipata kuanzisha urafiki na msichana,mwanzo wetu ni kwamba nilikosea namba na nikampata huyo msichana,nikamshawishi tuwe marafiki japo kwenye cm tu,kwa...
  7. B

    Nataka biashara itakayonisomesha.

    Habari za leo imani yangu muwazima wa afya,nami namshukuru mungu naendelea vizuri.Naomba maoni yenu,me ni mwanafunzi kidato cha 5 ktk shule moja ya serekali hapa mjini znz,tangu nimefaulu nimekuwa nikajitegemea kwa gharama zote za kusoma pmj na matumizi madogomadogo,nimejipigapiga kutafuta...
  8. B

    Hivi atakuwa ananipenda au msanii tu?

    Kwanza kabisa wana JF,napenda kuwaarifu kwamba me ni member mpya kwenye hili jukwaa,naahidi tutashirikiana ktk kuchangia mada zile zitakazotumwa.Baada ya utangulizi huo,naomba kila mmoja kwa kutumia uelewa wake anieleze kile anachokifahamu juu ya kesi ifuatayo:- Me ni kijana,miaka 22 kwa muda...
Back
Top Bottom