Search results

  1. Benatia

    Kazi zenye laana isiyoonekana

    Na mafundi ujenzi
  2. Benatia

    Miujiza kuhusu Therapy ya bamia

    Bamia ni nzuri sana, hata wale wenye tatizo la kupata choo kwa shida hapa ndo mahala pake
  3. Benatia

    Eti kwa umri huu ni mbaya kuwa Freemanson?

    Write your reply...Watu hudhan kujiunga kule ni simple tu kama kunywa maji eti!
  4. Benatia

    Tuwachangamshe vipi wanaume wapole

    Huyo mim kabisa mpaka watu huwaga wanauliza kama nitakuja kuoa kweli na huu upole wangu!, but hiyo ni nature hatuwez kupingana nayo kikubwa mvumilie tu
  5. Benatia

    Hili limekaaje wadau? Huyu manzi atakuwa anamaanisha nini?

    Mbona huyo tayar kakuelewa sema wew ndo huelewek
  6. Benatia

    Mdaiwa anafungwa?

    Kama umeamliwa ulipe kidogokidogo hapo huwez kufungwa,..ila Jitahidi ulipe tu maden ya watu ndugu
  7. Benatia

    Namuogopa mpenzi wangu nikisikia sauti yake

    Tayari kimziz kishaanza kufanya kazi
  8. Benatia

    Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

    Write your reply...hizo sababu hazina mashiko kabisa, pamoja na magumu ambayo wanaume tunapitia lakin asilimia kubwa tunajivunia jinsi tulivyo, hakuna mwanaume ambaye hutaman kuwa mwanamke hata siku moja wewe utakuwa unamatatizo yako binafsi
  9. Benatia

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee wa inplay naona umerudi kwa kasi ya 5G
  10. Benatia

    Penzi ndani ya basi

    Dah! Kweli mkuu hata wahun huzeeka
  11. Benatia

    Penzi ndani ya basi

    Tuna wazee wa ovyo sana..usikute hapo una wajukuu kabisa, cjui wanajifunza nin kama babu yao ana tabia kama hizi!
  12. Benatia

    Rais Samia: Nimeona utani baada ya Simba kushinda 7-0, waambieni fedha bado zipo tupieni magoli wavuni

    Haya ni matumiz mabaya ya pesa za uma, hizo hela si zinatosha kabisa kuweza kujenga kisima cha maji mahali flan..alafu bado tunajiuliza why tuko masikini!
  13. Benatia

    Wasukuma kuanzia Leo mtambue mtume Paulo ni Shemeji yenu.

    Huyo mama kachanganyikiwa akili yake haiko sawa ni wa kumuombea tu
  14. Benatia

    Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

    Mtoa mada uko sahihi tatizo wabongo ni wabishi sana na ndo maana hata viongoz wetu manatupelekesha tu wanavyotaka sababu wanajua sisi ni kama kondoo yaan (zero brain). Kutwa tunawaza ngono tu sasa unadhan kwa akili kama hiz tunaweza kuitoa ccm madarakani achilia mbali kupata katiba!.
Back
Top Bottom