Search results

  1. Mo graphics 2019

    Je, ushawahi shiriki ‘Logo design competition’?

    Habari wakuu, Kuna wakati hua kunaandaliwa mashindano ya kuandaa nembo(logo) kwa ajili ya taasisi fulani.Lengo likiwa ni kukuza ubunifu na kutaka kutafta wazo bora. Kwa ambao tulishiriki competition ya kuandaa logo kwaajili ya Ruge mutahaba foundation, hatimae mshindi alishapatikana...
  2. Mo graphics 2019

    Sport Jersey design concept

    Here is my 3 hours workout on jersey design. What is your comment about this design? let me know. #jerseydesign #simbasportclub #graphicsdesign #creativity
  3. Mo graphics 2019

    Online Travel Agency (OTA)

    Hello! Heshima kwenu. Kwa wajuvi katika sector ya usafilishaji wa anga(airline). Naomba muongozo wa taratibu za kuwa travel agency wa kampuni za ndege. Kama uko na A.B.C juuu ya hiri swala naomba utoe mchango wako hapa kwa faida ya watu wote. Karibu.
  4. Mo graphics 2019

    Mgawanyo wa fedha kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2021/2022 ni kilio kitupu kwa walio wengi

    Heshima kwenu wadau wa JF. Mgawanyo wa fedha kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2021/2022 ni kilio kitupu kwa walio wengi. Imagine mtu analipiwa 256,000|= Out ya 1263,000|= tafsiri yake hapo anatakiwa aongeze kama 1m hivi. Sasa je ni wangapi wata mudu kujiongezea hizo pesa ili waweze kusoma...
  5. Mo graphics 2019

    Kwa wanafunzi walio dahiliwa SUA

    Heshima kwenu wadau wa JF! Kwa wanafunzi walio dailiwa SUA 2021. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha sana kwenye chuo chetu pendwa cha SUA. Unaoofikiria kujiunga na SUA mambo ya muhimu ya kuzingatia n kama ifuatavyo: [emoji117]Chuo kina hostel chache, hua wanatoa priorities kwa mwaka wa kwanza...
  6. Mo graphics 2019

    Ofa kuelekea sikukuu ya Eid

    Hello JF! Kwa wale wamiriki wa taasisi, Kampuni, ama biashara yeyoyote nina ofa yenu leo[emoji3][emoji3]. Ofa yenyewe inahusu proffessional poster design yenye maudhui ya Eid, kwa ajili ya matumizi ya kesho. [emoji117]Bei ni 5000/= Kwa poster moja, hii ji 50% discount. Unalipia kabla...
  7. Mo graphics 2019

    Karibu utazame offer zetu mpya

    Mo graphics studio tunaendelea kutoa huduma kwa wateja wetu Kama ifuatavyo. Tuna design mabango ya biashara(Banners) mbali mbali kwa gharama ya 20k. Tuna design stickers kwa ajili ya ku brand office mbalimbali, ikiwa pamoja na Saloon za kike na za kiume, bucha, maduka ya dawa(Pharmacy), n.k...
Back
Top Bottom