Search results

  1. L

    Leo tarehe 12/03/2012 hatujalipwa mishahara serikalini Je Mkulo unataka migomo ikuandame????

    Sijui wenzetu wengine but huku kwetu hatujalipwa mishahara ya February hadi leo? Naona serikali inafanya mzaha na jasho letu na tumeshachoshwa na hali hii je tunakuuliza mheshimiwa waziri wa fedha bwana Mkulo wewe unaweza kuishi bila ya hela kwa siku 12? Kama wewe ni mpangaji je ungelivumilia...
  2. L

    Tamko la kamati kuu ya CHADEMA kuhusu mchakato wa katiba

    Siasa za kitanzania ni kula tu mpaka unasikia kichefu chefu
  3. L

    Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo

    CJ Chande alipoteuliwa watu walisema mara ohhh JK mdini, mara JK anateua vyeo kindugu haya ICC nako kuna udini au upendeleo? Tanzania bwana matatizo tu. Nenda huko mzee Chande achana na CJ ya Tanzania shida tupu na kero!!!
  4. L

    Zawadi Ngoda soma hapa kwanza tafadhali

    Tanzanians are becoming poor despite the fact that Tanzanian gdp rate is very high.
  5. L

    Ombi maalum la kuorodhesha madeni ya serikali nje na ndani na uwezo wa nchi yetu kuyalipa

    National Debt Hits Sh15 Trillion Mark Frank Kimboy, Florence Mugarula and Victor Karega 26 January 2011 Email| Print| Comment Share: Dar es Salaam — Tanzania's total national debt stock has reached $10.8 billion (Sh15 trillion), and...
  6. L

    Ombi maalum la kuorodhesha madeni ya serikali nje na ndani na uwezo wa nchi yetu kuyalipa

    National Debt Hits Sh15 Trillion Mark Frank Kimboy, Florence Mugarula and Victor Karega 26 January 2011 Email| Print| Comment Share: Dar es Salaam - Tanzania's total national debt stock has reached $10.8 billion (Sh15 trillion), and...
  7. L

    After Mkulo's Crisis Meeting BOT 3 Key policies to rescue Shillings

    Mkuu hueleweki unataka kuzungumza nini au una beef na Ngeleja?
  8. L

    Mkulo for crisis meeting as inflation nears 17pc

    Kama alivyokabidhiwa NPF ikiwa na uhai na alipostaafishwa kwa maslahi ya umma na mkapa ilikuwa hoi bin taaban kifedha na tuhuma lukuki za ufisadi. JK ana sababu za ziada kumchagua huyu jamaa sio competence peke yake kwani naona kama hana competence.
  9. L

    Hodi hodi humu ndani!!!

    Nimeshakaribia nimekuja na budweiser baridi maana nimechungulia dirisha la Jukwaa la Siasa hamadi kuna moto mkubwa utafikiri watu wameamka na stress asubuhi, Nikachungulia Jukwaa la kimataifa naona kuna mapigano makali yanaendelea baina ya wakenya na watanzania. Nimeangalia jukwaa la biashara...
  10. L

    Hodi hodi humu ndani!!!

    Naanza kwa kujitambulisha mie mwanaadamu. natumai mtanipoke kwa fahamu. Mie mwanaadamu mwenzenu. Asanteni.
  11. L

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    Nawaunga mkono na kushauri rais wetu JK aongeze nguvu hawa Al-Shabab ni kundi la wahuni waliofadhiliwa na waarabu kufanya fujo africa mashariki. Naona walinogewa na utekaji nyara wazungu bora watandikwe sawa sawa. Hata hivyo nondo unachokinena kina mantiki ndani inabidi Africa mashariki wawe...
Back
Top Bottom