Hodi hodi humu ndani!!!

Leotena

Member
Oct 13, 2011
11
2
Naanza kwa kujitambulisha mie mwanaadamu. natumai mtanipoke kwa fahamu. Mie mwanaadamu mwenzenu. Asanteni.
 
Naanza kwa kujitambulisha mie mwanaadamu. natumai mtanipoke kwa fahamu. Mie mwanaadamu mwenzenu. Asanteni.

Karibu sana Leotena, hata sie wote hapa ni Wanaadamu. Karibu mpaka ndani. Hapo nyuma yako kuna fridge ina vinywaji mbali mbali na togwa pia :):) pia kuna sambusa na bajia. Angalia ukipendacho ili ukate kiu.
 
Nimeshakaribia nimekuja na budweiser baridi maana nimechungulia dirisha la Jukwaa la Siasa hamadi kuna moto mkubwa utafikiri watu wameamka na stress asubuhi, Nikachungulia Jukwaa la kimataifa naona kuna mapigano makali yanaendelea baina ya wakenya na watanzania. Nimeangalia jukwaa la biashara kumenivutia na jukwaa la wanamapenzi. Naombeni mnishike mkono mie kuku mgeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom