Search results

  1. BORNCV

    Bwana harusi hajaanza vikao, bibi harusi kaanza vikao

    Acha umbea wakike wewe mkonowapaka Mambo hayakuhusu umeshupalia kama yakwako, sasa unatwambia ili tufanyaje!?
  2. BORNCV

    Binti wa miaka 22, nimemkuta na bikra

    Unashangaa wa miaka 22 mie nimemkuta wa miaka 32
  3. BORNCV

    Kwa mwendo huu, tutafia sana vifuani

    Aa aaa kweli hii dharau kweli natamani nimdhibitishie kwamba hayuko sahihi
  4. BORNCV

    Kwa kauli ya Mbowe, kesho rasmi narudisha kadi ya CHADEMA mtaa wa Ufipa

    safari njema tuache tuendelee kujenga chama chetu huna la maana kwetu wewe
  5. BORNCV

    Ambiguity of languages

    sio ndege kiumbe bali ni ndege ya kubeba abiria
  6. BORNCV

    Hivi wajumbe wakristo kwenye bunge la katiba wameenda mahususi kupinga fikra za waislam??

    umesema vema ndugu THE BIG SHOW 1. Hayo matakwa yenu ni yapi wakati hata katiba ya sasa imesha mruhusu kila mtu kuabudu katika dini yeyote anayoitaka, ni matakea gani ambayo u(m)nayataka kama kuwasiliana na mungu wenu hamjazuiliwa vitabu vyenu ndio viwafunze waomini wenu naoma ya kutii inanii...
  7. BORNCV

    Hivi wajumbe wakristo kwenye bunge la katiba wameenda mahususi kupinga fikra za waislam??

    nikuuliZe swali ndugu 'BIG SHOW' UNA(mna)TAKA MAHAKAMA YA KHADHI KWENYE KATIBA KWA AJILI YA NINI NA NANI? ukijibu nitaendelea asante sana na YESU KRISTO AKUBARIKI SANA
  8. BORNCV

    Siri Nzito UKAWA: Kigogo CHADEMA atoboa ni shinikizo toka Ulaya afichua Mbowe kuwaponda CUF na NCCR

    kwani hiyo RASIMU ya katiba wameandika watu wa ulaya au wananchi wa Tanzania? UKAWA wanatetea katiba ya wananchi kwa ajili ya wananchi, sioni sababu ya wao kusema mambo ya Ulaya ambayo hayana tija kwa maslahi yetu.
  9. BORNCV

    Wanawake wengi wamekuwa limbukeni wa social networks - pia baadhi ya wanaume

    hongera kupata marafiki jf mimi ninaowapenda wananikimbia!
  10. BORNCV

    Kumbe Lipumba alishinikizwa na Mbowe na Mbatia kujitoa kwenye Kamati ya Uongozi

    wewe ni muongo mkubwa!!!! shame be upon you! Mh. Mnyika alisimama na kulalamikie uteuzi kabla ya Prof. Lipumba hajakataa uteuzi wa mwenyekiti. sio wewe peke yako unaeangalia tv acha umbea ndugu yangu utakufa muda sio wako.
  11. BORNCV

    CREATION was only for israelites not for all human races, EVOLUTION still holds its truth !

    tafadhali hebu yaelezee hayo maneno mawili kama ulivyosema kwa kutumia lugha ya kingereza
  12. BORNCV

    Bado sijapata hata wa kuni-PM

    mimi ni mvulana, bila shaka wewe ni msichana!
  13. BORNCV

    Bado sijapata hata wa kuni-PM

    nddio mimi ni mvulana na wewe ni msichana au?
  14. BORNCV

    Bado sijapata hata wa kuni-PM

    okey niambie unapenda niweke avatar gani ambayo itakushawishi?
  15. BORNCV

    Bado sijapata hata wa kuni-PM

    yale yale sasa unataka niende baharini wakati kuogelea siwezi
  16. BORNCV

    Bado sijapata hata wa kuni-PM

    hahahahaha umenifurahisha sana! naona umenichoka kweli
  17. BORNCV

    Bado sijapata hata wa kuni-PM

    Aah kudadeki! Nani tangu nimejiunga hapa JF kila ninayemuhitaji ananitolea nje wengine hawanijibu request zangu hadi leo, sasa sioni raha ya JF yaani hat wakuniandikia ujumbe pia sipati du kweli nimekuwa msindikizaji hapa.
  18. BORNCV

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Mie siko mahakamani ila nimesoma mpaka nika feel huzuni kwanini lakini zitto, sasa unavuna ulichopanda wala usitake huruma zetu kwa sababu iliyataka mwenyewe kwa kulewa sifa.
  19. BORNCV

    Vipi tupac shakur alikufa kweli au bado yuko hai?

    Habari! Mimi hili suala la kifo cha 2pac linanichanganya sana, mbona halipo wazi kama vifo vya kina michael jackson, withney houstone, bob marley na wengine? Kuna mtu yeyote mwenye taarifa za kueleweka za kufa au kutokufa kwake.
Back
Top Bottom