ndio hapo inapokuwa shida..maana mfumo wa nchi kwa kuongozwa na katiba unaelekeza kuwa nchi itaongozwa na chama kitakachoshinda..... na sio mtu mmoja.. na ndio maana kuna kitu kinaitwa ILANI (yaan mwongozo) hiyo ndiyo ambayo itamwongoza Magufuli.. siwezi nikiwa na akili timamu kushabikia CCM...
uweke kiongozi msafi toka chama kichafu?
by the way ni usafi UPI unaoungelea...maana kama kashfa na ufisadi tunazisikia wote wakisemwa kuwa nazo....unataka kumaanisha nini?
ni wakati watanzania tukafanya mabadiliko.....makubwa ya kuondoa chama hiki kilichooza kabisa...sio kuchafuka tu.
Tukirudi kwenye swali kuu ; ni kwamba Prof. Muhongo alipokuwa akijiuzulu alisema kuwa anajiuzulu nyadhifa zote za kisiasa alizonazo..
na ni logic kwamba aliteuliwa kuwa mbunge TU ili awe waziri, kwa hivyo ni kwamba kama si waziri basi na ubunge wake ambao ulikuwa specifically kumuwezesha kuwa...
Habari za asubuhi wanajamii?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni kuwa ninahitaji kazi ya kufanya kwa muda wa usiku (masaa ya usiku).
Mahali nilipo ni Dar es salaam. Ninauwezo wa kuelewa kazi yoyote isiyo hitaji utaalamu wa hali ya juu na kuifanya kwa maelekezo machache na bila...
hakuna cha kumwelewa...
mnalazimisha sana kuuza kisicho uzika.
no wonder watu mnaompigia debe akili zenu ni za kutilia mashaka sana.
angalia ID yako utapata jibu,angalia wale vijana waliobebeshwa bango utagundua ni watu wa aina gan.
je ni watu wanaoweza kutuamulia swala kubwa kama hili?
kwangu...
Na lazima uchoke,kutetea kitu ambacho unafahamu moyoni mwako kuwa sicho....
hii nchi kuna watu wanaichezea sana...watu wasio na uwezo hata wa kuwa wakuu wa mikoa leo wanaforce kwa nguvu zote wawe marais...
hatujachoka tu na umaskini huu...?
tunahitaji kiongozi mwenye standards za Nyerere na sio...
naona makanjanja mnatamba,
mmesahau ka tupo mababa,
kila mmoja ajiona ye mwamba,
game ya watoto,nmekaa pemben mwamba,
utunzi mwepesi nawakusanya kama pamba...
Hii nchi kila mpumbavu ana say....tena ni katika kuharibu, kutia sumu na kuinfluence mambo makubwa ya kitaifa...uongozi unaowapa nafasi kueneza sumu hii wakidhani ni demokrasia ndio wa kulaumu. kila kitu kina mipaka.
Andika vizuri wewe mtoto. Miaka 18 mbona inatosha sana kujielewa na kujua kuwa unainteract na watu wenye akili zao.
Ni chuo gani mnafundishwa hivyo...?
Ndio... Unaweza kubadili jina. Unaenda kwa mwanasheria anakuandalia document inayoitwa deed poll, na kuapa. Thence from you will be referred by that other name.
Hujamsoma Excel bado.
Anamaanisha umwandikie demand letter/notice, kupitia mwanasheria...hiyo lazima ijibiwe kwa jinsi inavyodraftiwa.
pita kwa mwanasheria...ndio kazi zao....wanaelewa what to do.
Lawyers communicate through papers hivyo usihofu kuwa barua haitajibiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.