Nahitaji kazi ya usiku

Nahitaji kazi ya usiku

An elect

Member
Joined
Oct 9, 2011
Posts
89
Reaction score
20
Habari za asubuhi wanajamii?

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni kuwa ninahitaji kazi ya kufanya kwa muda wa usiku (masaa ya usiku).
Mahali nilipo ni Dar es salaam. Ninauwezo wa kuelewa kazi yoyote isiyo hitaji utaalamu wa hali ya juu na kuifanya kwa maelekezo machache na bila usimamizi.

Ninaweza kutumia lugha mbili (yaani kiingereza na kiswahili) kwa ufasaha.
Mfano kazi ambazo zina shift za usiku kama hotel receptionist ama kingine chochote.

Naamini humu kuna watu mbalimbali wenye kujua mambo mengi...wanaoweza kutaja kitu ambacho hata sikukifikiria au sikijui.
Nawakaribisha kwa michango yenye manufaa..cha muhimu iwe ni decent job.
 
Back
Top Bottom