Search results

  1. Indoraptor

    Naomba wajuzi wa sheria wanijuze jambo hili katika utoaji wa matumizi kwa mtoto

    Salaam, Nianze kwa kutoa background fupi kati ya mimi na mzazi mwenzangu. Ni mwanamke ambaye nimezaa nae mtoto mmoja, kipindi amejifungua alikuwa akiishi kwa wazazi wangu mkoa tofauti na ninaoshi (nilifanya hivyo kuwa kuwa nilikuwa kwenye utafutaji, hivyo sikuwa mtu wa kutulia). Baada ya...
  2. Indoraptor

    Biashara ya mahindi ya kuchoma yaniingizia tsh milion 24 kwa mwaka

    Faida haitofautiani sana na matikiti kumbe
  3. Indoraptor

    Umepitia/Unapitia changamoto gani tangu umalize chuo mpaka sasa?

    Katika maisha hakikisha haujilinganishi na mtu mwingine utaumia sana, bali jilinganishe wewe mwenyewe. Hakikisha wewe wa jana sio wewe wa leo, na wewe wa leo usiwe tena hivyo kesho
  4. Indoraptor

    Easy! Yanga ndani ya nusu fainali

    Ushindi huu ukawe somo kwa mabingwa wapya wa robo fainali 2022/23 CAF "Makolo SC". Msimu uliopita walitumia hadi uchawi ili kufuzu nusu fainali ya kombe la shirikisho. Lakini waliishia pale uwezo wao ulipofikia, walitwaa ubingwa wa Robo fainali usiokuwa hata na medali 2021/22. Msimu huu...
  5. Indoraptor

    Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

    Hatua ya mwisho ni fainali mkuu
  6. Indoraptor

    Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

    Wanaoenda nusu fainali ni wanne tu. Nilisikia CAF wakisema hivyo
  7. Indoraptor

    Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

    Basi tunampongeza Wydad. Nyie mkayajenge na Onyango
  8. Indoraptor

    Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

    Na Wydad aliyemtoa bingwa wa robo fainali kwa msimu wa 2022/23". Apongezwe na nani?
  9. Indoraptor

    Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

    Kwahiyo kisa Yanga hajafika ndo mpewe pongezi?
  10. Indoraptor

    Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

    [emoji1][emoji1][emoji1]
  11. Indoraptor

    Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

    Kwani mkuu Robo fainali ndo hatua ya mwisho ya Champions league?
  12. Indoraptor

    Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

    Umesikia wapi Yanga wamedai heshima au pongezi. Iache Yanga itimize malengo yake. Wewe malengo yako yameshatimia subiri mwakani tena
  13. Indoraptor

    Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

    Pole sana, mwakani mfike tena robo fainali mje kudai heshima
  14. Indoraptor

    Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

    Mfa maji haishi kutapatapa, wahenga walishasema Baada ya Simba kufika hatua ya robo fainali ambapo tunajua kwamba hapo ndipo uwezo wao ulipoishia kwa misimu kadha. Sasa wameona kuendelea nusu fainali ni jambo ambalo hawaliwezi hivyo wanaanza kujigamba kwamba wamecheza kiume, mara wapewe...
Back
Top Bottom