Mashabiki wa Simba wanataka heshima ya nini?

Indoraptor

JF-Expert Member
Aug 30, 2019
248
504
Mfa maji haishi kutapatapa, wahenga walishasema

Baada ya Simba kufika hatua ya robo fainali ambapo tunajua kwamba hapo ndipo uwezo wao ulipoishia kwa misimu kadha.

Sasa wameona kuendelea nusu fainali ni jambo ambalo hawaliwezi hivyo wanaanza kujigamba kwamba wamecheza kiume, mara wapewe heshima, imefika mahali sasa wanaanza kujilinganisha na Yanga ili tu waone wamefanikiwa kwa kuwa Yanga alitolewa mapema Champions league.

Yaani kushindwa kwenu kunahusiana vipi na Yanga?
Kipimo chenu cha mafanikio kisiwe Yanga, pambaneni na hali yenu?

Make your own race, Simba ya 2023 isiwe Simba ya 2024 sio kuja kujilinganisha na Yanga, mtakuwa mnaishia hapo hapo robo kisa Yanga hajafika mkajiona mmefanikiwa

Nani aliyewaambia aliyeishia robo fainali ndo kafanikiwa? Yaani Hata medali tu anayopewa mshindi wa pili hampati alafu mnataka heshima? "Funny"
 
DA175C25-264E-4600-81B8-C27BA979A66B.jpeg

Wape maua yao
 
Basi tukupe wewe kwa kutolewa hatua ya awali...haya hongera ewe kinyesi fc
Umesikia wapi Yanga wamedai heshima au pongezi. Iache Yanga itimize malengo yake. Wewe malengo yako yameshatimia subiri mwakani tena
 
Aisee simba ni noma imeupiga mwingi sana kwakweli inahitaji pongezi MIMI KAMA MWANA YANGA DAM DAM NAIPONGEZA SIMBA SC KWA KULIWAKILISHA TAIFA VYEMA KWENYE MEDANI ZA FOOTBALL
 
Viva Simba SC 👏👏👏uto pwinyo hamjawahi kufika hiyo hatua (Club bingwa)
 
Sasa patamu yanga akimzaba mtu alooo japo michuano tofauti ila natarajia kuandaa kicheko maana hamuachagi kutufurahisha wenye vita zenu😂😂
 
Back
Top Bottom