Watu wameanza kuingiwa na wenda wazimu. Hiyo definition ya wapi. Umeipata wapi. Tukisema unaishi maisha bora tutakuwa tunamaanisha nini.
Bila shaka tutakuwa tunamaanisha una nyumba bora. Gari nzuri. Watoto wako wanasoma shule nzuri. Una income nzuri etc etc. Sasa katika ku miliki vitu hivyo...
Yaan how. Mimi huwa sielewi unaposema majina ya watu wa bara. Ina maana wazanzibar waliopo bara hawatakiwi kupiga kura? Mi ninavojua wapiga kura wote wanaruhusiwa kupiga kura mahali walipojiandikisha. Au kwa lugha nyingine mahali ambapo ni makazi yake kwa sasa.
Kama ww ni wa bara lakin for now...
Ww una tabia kama za Lisu. Inawezekana una undugu na lisu au mnatoka kijiji kimoja au pengine mlisoma darasa moja mwalimu wenu mmoja.
Sent from my LG-K520 using JamiiForums mobile app
Nadhan unaelewa pia kuwa na KQ haitui huko. Kama ndege zao haziruhusiwi kutua kenya its obvioursly hata zenu haziruhusiwi kutua kwao. Ndivyo na sisi tulifanya. Wala sio tatizo. Tumewazuia mmeleta kulia lia. Kwan a kimyaa kungekuwa na tatizo gan.
Sent from my LG-K520 using JamiiForums mobile app
Pole chige. Nakuonea huruma sana. Nilidhan unaleta scientific proof apa. Kumbe unatumia sources za mitandao.
Nilifurahi nikaona sasa nimepata msomi ambae atatufafanunulia kitaalam, kumbe ni ku nukuu vyanzo vya mitandao. Hujui hata samples huwa zinachukuliwaje. Hujui hata swab zina maana gan...
Daktari wa Meno, Mkuu kwa ni lazima ukate. Achana na mawazo potofu. Mambo ya kukata mtayafanya mkiwa tayari mme na mke. Na mtashauriana kama yeye anaona kuna haja ya kukata au hapana. Otherwise usijaribu kukata kabla ya harusi. Utakuja kuaibika. Utatia aibu sana. Achana na hilo wazo its too late...
Duh. Mkuu taratibu bas. Yaan watanzania hamuhitaji umeme.!!? Pole sana. Sisi wengine tunauhitaji tena sana mkuu. Na bahat mbaya hatujakuchagua ww kuwa msemaji wetu. Kwa hiyo funga tu domo lako hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke utakaempata ajihesabu kuwa kapata mwanaume wa kweli. Mkuu jitambue kuwa wanaume wa type yako nowdays ni wachache sana. U r a real man. Hongera sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee mwanakijiji.
Mimi naamin kabisa kuwa hata hatua hizi ilizochukua marekan ni matokeo tu ya mvurugano walionao wao huko kwao. Na tamanio la wao la kujaribu kupunguza kasi ya serikali hii ili nchi nyingine zisiige mfano huu. Kwa sabab Magufuli amevuma sana na kuna hatari ya nchi nyingi za...
We ulishaenda jimbon kwake Monduli ukaona hali ya maendeleo ya jimbo lake? Nenda kaone ili uweze kujua kuwa yule jamaa hovyo kabisa yule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu mkuu. Heb jaribu kuishi kwenye nchi nyingine za kiafrica.
Jaribu kuishi SA, Uganda, Kenya, Ethiopia, Congo, Rwanda, Msumbiji, Nigeria, Senegal , Cameroon au hata Libya na ukipenda angalia nchi nyingine kama china, Rusia, Iran, Saud Arabia, Mexico na nchi kibao za ulaya then ndo uje...
Mshana.
Wakati mwingine ni vizuri kukushauri vizuri ili uelewe namna nchi zinavoendeswa.
Maelezo yako yapo kama vile hata ww huelewi maana ya sovereign state. Hujui kuwa nchi inapofanya biashara na makampuni ya nchi fulan, basi ni issue ya uhusiano wa serikali mbili. Wenzetu wamarekan wanajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.