Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,053
Nakumbuka alikua mbunifu Sana na mzalendo kwelikweli .Nazani kilichomuondoa no siasa katika kazi je alienda wapi? Na anfanya nini siku hizi?
Na Kama sijakosea huyu alikua mchumi mbobezi.Wadau vipi mnajua tatizo gani lilisababisha akaondoka wakati alikua na uwezo mkubwa wa kuliendesha shirika.
Nawakaribisha maana penye wengi Kuna mengi pia.
Asanteni