Search results

  1. S

    Naomba msaada wa dawa inayoweza kuniondolea hamu ya tendo la ndoa

    Habarini wana jF, Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 22 ninasumbuliwa na tatizo la kuwa na hamu ya kufanya tendo la ndoa kila muda. Nililikuwa naomba msaada wa dawa inayoweza kuniondolea hamu ya tendo la ndoa ambayo haiwezi kuniathiri nguvu zangu. Nawasilisha kwenu mchango wako ni muhimu...
  2. S

    Kusoma text za mpenzi wangu

    Habarini wadau natumaini muwazima Niende mojakwamoja kwenye mada Mimi nikijana mwenye umri wamiaka 27 nina mpenzi wangu ambae tumekubaliana kuoana lakini haniamini kua nampenda anahisi kuwa nina mtu mwingine tumekuwa na ugomvi mienzi miwili iliyopita kutokana na kutokuaminiana . Ila tumefikia...
  3. S

    Maambukizi ya ukimwi

    Habari za SAA wana jF nilikua ninashida .Leo asubuhi nimeamka nkajikuta nmetumia mswaki wamwenzangu pasipo kujua sababu inafanana nayeye nimgeni alikuja tuu Jana alafu kutokana namaisha yasasa hakuna kuaminiana Magonjwa mengi ,alafu zaidi Mimi kwenye fizi huoga nkipiga mswaki dam zinatoka...
  4. S

    Nina uume mkubwa hadi nakosa amani

    Habari za Saa wana jf Mimi nikijana mwenye umri wamiaka 21 ninasumbuliwa natatizo lakuwa na uume mkubwa kila ninapo kuwa wakati wa faragha nampenzi wangu analalamika anaumia nisiingize yote Mimi nkajua labda nakosea katika kumwandaa Ila hapana Nmejaributena kutafta ma jimama manene yenye umbo...
  5. S

    Imarisha nguvu za kiume hapa

    Habari za hasubuhi wadau natumaini wazima Uzi nilikua niulete kwenu siku nyingi lakini nikakosa muda Achaniandike kwaufupi stori nyingi zinachosha, kamaunashindwa kurudi tendoni mara ya pili basi fanya hivi: 1* Tumia ungawasoya vijiko viwili kilaunapo kunywa chai au uji muda wowote au...
  6. S

    Kuchukua bidhaa nje nakuuza nchini

    Habarini wajamvi natumaini muwazima Mimi nkijana mwenye umri wamiaka 20 najishughulisha nambishe zakuuza phone accessories na vitu vingine vya electronics ninamda wamwaka mmoja tokea nianze kazi hii sinaoffice ila Nina group la watsap ambalo nimewaad wanachuo wavyuo mbalimbali ambapo natuma...
  7. S

    Tanzania inafeli suala la zuio la mifuko ya plastiki

    Hivi katazo la mifuko ya plastiki ni kwa mifuko myeusi au? Sababu sasa hivi naona vimekuja vimfuko vya plastiki vyeupe ila havina mikono, je vina utofauti gani na vyeusi au rangi na tunapoelekea vitawekewa mshkio Hebu tujadiliane hili janga sababu tunarudi kule tulipotoka
Back
Top Bottom