Kusoma text za mpenzi wangu

sina demu

Senior Member
Joined
Jul 25, 2019
Messages
176
Points
225

sina demu

Senior Member
Joined Jul 25, 2019
176 225
Habarini wadau natumaini muwazima

Niende mojakwamoja kwenye mada

Mimi nikijana mwenye umri wamiaka 27 nina mpenzi wangu ambae tumekubaliana kuoana lakini haniamini kua nampenda anahisi kuwa nina mtu mwingine tumekuwa na ugomvi mienzi miwili iliyopita kutokana na kutokuaminiana .

Ila tumefikia muafaka wakilammoja ashike simuyamwenzake lakini napia amesema kutokana namimi ninasafiri kilamara haitakua suluhisho.

Ila nimekuja kwenu kuomba kama kuna anayejua application yasimu ambayo inaweza kutoa tarifa za SMS na call kutoka kwamtumwingine naweza anisaidie ili tuendelee kujenga mahusiano yetu sababu ndionjia rahisi yakuaminiana

SHUKRANI
 

Forum statistics

Threads 1,366,949
Members 521,594
Posts 33,381,329
Top