Habari za SAA wana jF nilikua ninashida .Leo asubuhi nimeamka nkajikuta nmetumia mswaki wamwenzangu pasipo kujua sababu inafanana nayeye nimgeni alikuja tuu Jana alafu kutokana namaisha yasasa hakuna kuaminiana Magonjwa mengi ,alafu zaidi Mimi kwenye fizi huoga nkipiga mswaki dam zinatoka naombeni msaada nifanyaje