Search results

  1. Spectophotometer

    Biteko: TANESCO inanunua umeme wa Megawati 31 kutoka Uganda na Zambia

    Huko wanakonunua ni maeneo ambayo gridi ya Taifa bado haijafika.
  2. Spectophotometer

    Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

    Kaka ni mapema but,unene unatesa aisee!
  3. Spectophotometer

    Kila ninapoweka juhudi za kupungua uzito, ndio naongezeka!

    1. Acha kunywa chai asubuhi 2.Mchana Kula wali au ugali na majibya kutosha 3. Usiku kula matunda kabla ya saa 2 au usile kabisa Mimi nimetoka 84.5kg sasa nina 67.7kg Almost kwa miezi 6
  4. Spectophotometer

    Ukitoa posa unatakiwa kukaa muda gani ndio utoe mahari?

    Kutajiwa. Kuipeleka huenda ikafanyika hata baada ya wiki Miezi 5 ni mingi. Nahofia kusema hakuna muoaji hapo
  5. Spectophotometer

    Ukitoa posa unatakiwa kukaa muda gani ndio utoe mahari?

    Kutajiwa. Kuipeleka huenda ikafanyika hata baada ya wiki 2
  6. Spectophotometer

    Ukitoa posa unatakiwa kukaa muda gani ndio utoe mahari?

    Baadhi ya jamii siku ya posa ndio siku hiyo hiyo ya mahari mathalani ukanda wa Pwani
  7. Spectophotometer

    Ukitoa posa unatakiwa kukaa muda gani ndio utoe mahari?

    Haina muda maalum Mzee! Hata baada ya wiki 2 au mwezi
  8. Spectophotometer

    Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    09. Ni ipi hukumu ya kuvuta sigara na kuiuza? Swali 09: Ni ipi hukumu ya kuvuta sigara na kuiuza? Jibu: Kuuza sigara ni haramu na vivyo hivyo inahusu kuinunua, kuiuza, kuwakodishia maduka wale wauzaji kwa sababu kufanya hivo maana yake ni kusaidiana katika dhambi na uadui. Dalili ya uharamu...
  9. Spectophotometer

    Serikali yaruhusu Mabasi ya abiria kusafiri kwa saa 24

    Tayari Kilimanjaro Express ana route hiyo kitambo, anatoka Dar saa 4 Usiku kwenda Arusha
  10. Spectophotometer

    Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    1.Ingia kwenye WhatsApp messenger 2.Bonyeza settings 3. Chagua privacy setting 4.Bonyeza group setting 5. Kisha chagua kama ifuatavyo
  11. Spectophotometer

    Harusi ya Majizzo, Millard Ayo: Vijana matajiri hawapendi kuchezea pesa zao wala kusumbua watu na michango

    Mkuu fanya Settings kwenye WhatsApp messenger yako ambapo hakuna yeyote atayeweza kukuunga kwenye group. Binafsi nimewakomesha kwa hilo. No stress za michango!
  12. Spectophotometer

    Msaada wa sehemu ya kupata Dola kwa Dar

    Nenda NMB. Juzi nimelipia dola 2100
  13. Spectophotometer

    Msaada wa sehemu ya kupata Dola kwa Dar

    Nenda benki ambayo Una account yako huko. Waambie unataka kufanya malipo.
  14. Spectophotometer

    Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    Tofautisha kati ya UISLAMU NA WAISLAMU. KInachozungumziwa hapa ni UISLAMU. Jiulize kwani hakuna WAISLAMU walevi,wazinzi,wachawi? Kisha tujiulize UISLAMU unasemaje kuhusu Ulevi,uchawi,uzinzi n.k. Kifupi ni kuwa UISLAMU UKO KAMILI lakini WAISLAMU wanamapungufu yao.
  15. Spectophotometer

    Wazabuni huwa wanapangaje bei za bidhaa?

    Yeah! Unahisi hutapata faida?
Back
Top Bottom