Kwani historia ya Mheshimiwa ishaanza kufundishwa.
Je Mheshimiwa day teyari ishakuwa authorized
Vipi lile sanamu pendwa
Siamini kama wamepandisha vifurushi kabla????
Dogo kama unataka kusoma hiyo course tulia kwanza tafuta watu wa career hiyo wakupe A, B, C.
Ukikosa nambie nikupe namba za Graduates wa hiyo BAF na course nyinginezo za huko SOB
Me nimemaliza mwaka huu Mzumbe na bado nipo viunga hivi I'm speaking experience not references.
yaan hesabu ya Baf au Bba ifanane na Bhrm??
Qms 100 na Qms 102 zinafanana kweli we jamaa. Embu kama huna taarifa tulia tu usimpotoshe dogo, tena usije ukamwambia hata ile introductory account ya huko Bhrm na Baf ni sawa.
Hapana sikutishi maisha ya kusoma huku unawindwa kaka hata kama una uwezo utaonekana mjinga ndio chuo kinavyotaka Sapu ziwe nyingi Disco ziwe nyingi ili chuo kionekane kigumu.
Hao waliosoma ECA, EGM bado wanasumbuliwa.
Kama una interests na Coz za Biashara omba hata Marketing au Entrepreneur...
Chuo kina complications sana.
Kwa HKL ndugu nakushauri angalia vyuo vingine hiyo BAF ya mzumbe ni usumbufu na presha tu. At least Economics au Logistics utaweza handle ila hiyo BAF ni complicated lecturers+Complicated Accounts na kuna Maths wanaiita QMS asee jitathimini kwanza Mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.