Search results

  1. Mullykim

    Samsung Galaxy A50: Baada ya miezi 7, Je bado inafaa kununua?

    Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama unaplan ya kutaka kuinunua hii simu na pia kukupa ushauri wa vitu vya kuangalia katika hii simu.
  2. Mullykim

    Simu Bora kwa Mwaka 2019: Ni toleo lipi la smartphone ni bora kupita mengine kwa mwaka huu?

    Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama unaplan ya kutaka kuinunua hii simu na pia kukupa ushauri wa vitu vya kuangalia katika hii simu.
  3. Mullykim

    Wauza smartphone tukutane hapa

  4. Mullykim

  5. Mullykim

    wataalamu,wajanja wajanja wa mambo ya smartphones usipite bila kuchungulia huu uzi,sema chochote,usipite kimyakimya..

    Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama unaplan ya kutaka kuinunua hii simu na pia kukupa ushauri wa vitu vya kuangalia katika hii simu.
  6. Mullykim

    Wajanja wa Mac, come to my rescue

    Kwanza iwashe kwenye safe mode kujua tatizo ni nini. Kuwasha kwa safe mode - washa computer and ikiwa inawaka bonyeza shift hadi screen ikiwaka. kisha angalia tatizo ni kitu gani, sana sana jaribisha kuondoa kama kuna app uloweka mara ya mwisho kabla ya kupata hilo tatizo. Ikisumbua hapo jaribu...
  7. Mullykim

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Uzuri wa kuangalia kwenye video ni kwa sababu maelezo zake tukiandika hapa itachukua page nzima, hata hivyo pole kwa kumaliza bundle yako ya internet.
  8. Mullykim

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hakuna shida kabisa, ni chaguo tu la mtu
  9. Mullykim

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hii ni list ya applications muhimu kuwa nazo kwenye simu ya Android. Katika Applications hizi zipo zenye kubadilisha muonekano wa simu, kusaidia kuhifadhi memory ya simu, Ku-edit picha na pia games za aina mbali mbali. Tazama hii video ili uweze kujifunza zaidi kuhusu hizo applications.
  10. Mullykim

    Kwenda Kenya kwa kutumia Temporary passport

    Asante sana, hilo swala la yellow fever card hata ukipitia airport ni hivyo hivyo?
  11. Mullykim

    Kwenda Kenya kwa kutumia Temporary passport

    Hadi hiyo pia inatakiwa?
  12. Mullykim

    Kwenda Kenya kwa kutumia Temporary passport

    Habari, nataka kusafiri kwenda Kenya lakini Passport yangu bado sijapata, mtu yoyote anafahamu nnachotakiwa kufanya ili kupata temporary passport na pia nini natakiwa kufahamu nikiwa nasafiri na aina hiyo ya passport?
  13. Mullykim

    Smart Bulb with built in Speaker

    Hahaha
  14. Mullykim

    Smart Bulb with built in Speaker

    Yeah hapo ushindwe wewe. Huna haja ya Subwoofer kuangalia movie au kuskiliza muziki.
  15. Mullykim

    Smart Bulb with built in Speaker

    Bei ya ni Tsh 75,000 (Elf sabini na tano), ikijumuisha na kuletewa ulipo kwa Dsm.
  16. Mullykim

    Smart Bulb with built in Speaker

    (Swahili) Balbu inayotumia Bluetooth, Yenye Spika iliyo na sauti kubwa na yenye uwezo wa kubadilisha rangi yoyote kwa kutumia Smartphone. Pia inatumia Watt 6, Hivyo inafaa sana kwa matumizi yake madogo ya umeme. Inauwezo wa kukaa hadi kwa zaidi ya miaka 9. Bei Tsh 75,000 Mawasiliano :- 0655...
Back
Top Bottom