Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Wanajamvi kwema?

Wakuu naomba kujua app ya kutambua picha

Kwa mfano nachumua picha google sasa nakua sifahamu ilipigwa na nani na kuweza historia ya hiyo picha ilikuwa ya nani na nini umaarufu wake

Naomba kuwasilisha
 
Wanajamvi kwema?

Wakuu naomba kujua app ya kutambua picha

Kwa mfano nachumua picha google sasa nakua sifahamu ilipigwa na nani na kuweza historia ya hiyo picha ilikuwa ya nani na nini umaarufu wake

Naomba kuwasilisha
Kama hiyo picha niliyoweka hapo kwenye avatar yangu niliichukuwa twitter

Sasa naweza kuwa na hamu ya kufahamu huyo mtoto alikuwa nani na kwanini ilitokea mpaka akalalia vitabu vile?
 
Habari wakuu.
Naomba app nzuri ambayo mtu akifoji password ya simu au fingerprint inatuma picha ya mtu huyo na kwenye email.

Asanteni.
 
Hii ni tv apps yani kama una tv yako nyumbani unaweza ona haina maana mkuu kila tv chanel bomba ipo kuanzia mtv mpaka sky sport za football zipo mi saiv siendi tena kukesha kwenye mabanda kisa ligi ..


Pole mbona siku nyingi sana watu hawakeshi tena kwenye mabanda kisa ligi? Sana sana huwa unakwenda sehemu nzuri kwwa ajili ya kampani na wenzako huku mkiburudika na sio kibanda umiza
 
Hii ni list ya applications muhimu kuwa nazo kwenye simu ya Android. Katika Applications hizi zipo zenye kubadilisha muonekano wa simu, kusaidia kuhifadhi memory ya simu, Ku-edit picha na pia games za aina mbali mbali.

Tazama hii video ili uweze kujifunza zaidi kuhusu hizo applications.

 
Back
Top Bottom