Search results

  1. nipekidogo

    Mke wangu ananiita honey kwa sauti mbele ya ndugu zangu na Mama mzazi

    Huu ni mwaka wa 10 nikiwa na mke wangu na tuna watoto watatu, tunaitana Dear miaka yote tangu tukiwa wapenzi mpaka sasa, iwe mbele ya ndugu zangu au ndugu zake hata wazazi na sijawahi kuhisi vibaya naona poa tu hata watoto wetu wamezoea, sijawahi kumuita mama flani au kuitwa baba flani au hata...
  2. nipekidogo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Atakuwa kijijini aise, amebowa mbaya sn story yake ya kitoto
  3. nipekidogo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Story yako umeiharibu, umejisifia sana badala ya kuelezea kula kimasihara unatuletea habari za bonge la TV,bongo la kitanda sijui vitu gani sasa inasaidia nn jamaa yng
  4. nipekidogo

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Dah nimecheka sn, huyu jamaa anapaswa kuingizwa Kwenye Vitabu vya history ya kuwafanya waliokula kimasihara kufunguka!
  5. nipekidogo

    Maandalizi bora kwa binti anayeelekea balehe

    Nimeisha tu kucheka, ngoja abalehe ndio utajua kama hicho kijitabu kilifanya kazi au hakikufanya kazi!
  6. nipekidogo

    Nilichogundua kuwa JP "nabii. Hakubaliki kwao"

    Hakuna anaepiga K-vant akawa na uandishi huu, hii lazima itakuwa wanzuki tu
  7. nipekidogo

    Nilichogundua kuwa JP "nabii. Hakubaliki kwao"

    Ngoja nisubili watakaokuelewa naona mimi nimeambulia patupu!
  8. nipekidogo

    Clouds Fm sasa kusikika Afrika

    Kuna wale wale walisema clauzi itakufa lkn naona inachanja mbuga tu
  9. nipekidogo

    Power Mabula: Mtu aliyetikisa enzi zake!

    Miaka ya 80 mwishoni niliona shoo yake, aliweka mkono chini gari likapita juu ya mkono
  10. nipekidogo

    ‘Mr Nice’ ameibuka upyaaa!

    Ngoja nisubiri comments za watakaofanikiwa kusoma uzi wote!
  11. nipekidogo

    Takukuru shughuliekeni kashfa ya viongozi wa CHADEMA kwa haraka kama mlivyoshughulikia kashfa ya vigogo Wizara ya Mambo ya Ndani

    Hao viongozi mbona wanaendelea kuhojiwa na juzi Takukuru walitoa taarifa kuwa wanaendelea kuwahoji waliokuwa viongozi na viongozi wa sasa akiwemo mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini? Na ilisemwa Mbowe alikuwa hajaitwa kuhojiwa kwakuwa alitoa taarifa ya kuwa nje ya Nchi?
  12. nipekidogo

    Msamaha: Mzee Kinana amuangukia Rais Magufuli kufuatia mazungumzo yake na makada wenzake wa CCM yaliyovuja

    Nimewahi kusema hii kitu humu, mfumo ndio kila kitu na wote hao wanajua ndio maana hawawezi kuleta fyoko fyoko wakafanikiwa
Back
Top Bottom