Search results

  1. chaliko

    Uliza Swali lolote kuhusu Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania)

    Habari Ndugu zangu? Nipo Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania) kwa miezi kadhaa sasa. Kama una Swali lolote kuhusu Dodoma, unaweza kuniuliza. Nipo tayari kujibu Maswali yenu.
  2. chaliko

    Maumivu ya bajeti ya 2021 yako hapa kwa wananchi wa kawaida

    Kipengele (i) na (ii) kina gusa Watu wengi Sana mpaka wenye Uchumi mdogo kabisa. Bora wangeacha Faini ya Bodaboda iendelee kuwa 30,000/= kwa kila Kosa.
  3. chaliko

    Ruvuma: Wananchi watahadharishwa, tembo zaidi ya 200 wapo nje ya hifadhi

    Aisee... Tembo ni mtamu japo ladha ya Nyama yake inatofautiana kutoka eneo moja la mnyama hadi lingine. Kwa Watu wa Ruvuma hiyo ni fursa ya Uwindaji haramu na kula Nyama ya Tembo kwa bei poa.
  4. chaliko

    Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)

    Muda siyo Mrefu tutasikia KISHINDO CHA AWAMU YA SITA.
  5. chaliko

    TANESCO yakalia fidia ya wananchi miaka mitano

    TANESCO ni genge la Wahuni, kule DODOMA eneo la KIKOMBO na MSALATO tangu 2018 wametwaa Ardhi ya Wananchi na leo hii hawajawalipa. Wanakuja na Mbwebwe nyingi kuwa FEDHA ipo kumbe hamna kitu. Narudia tena TANESCO ni WAHUNI.
  6. chaliko

    Waziri Lukuvi, huku Idara ya Ardhi hakujakaa sawa

    Lukuvi hii Wzara imemshinda kabisa. Binafsi huyu ni Mmoja Kati ya Mawaziri wa hovyo kabisa.
  7. chaliko

    TAA na TANROADS lini mtatulipa fidia wadau wa Msalato?

    CCM ikiondoka madarakani watu wa Dodoma Mtaacha kudhulumiwa na mtalipwa Mkuu. Hebu fikiria tangu Mgogoro wa Ardhi Msalato umeanza mmewahi kumuona Mwenyekiti wa Mtaa, Mh. Diwani, Mh. Mbunge au Mkurugenzi wa Jiji?. HATA SIKU MOJA. Waziri wa Ardhi Mh. Lukuvi utasikia yupo Mwanza, mara Arusha, n.k...
  8. chaliko

    Maisha mapya katika nchi za watu

    Unaweza kukuta ni mambo ya LWANDA MAGERE.
  9. chaliko

    MAGUFULISM: Falsafa ya Magufuli kwenye Siasa, Uchumi N.k

    Sitaki kuwa MNAFIKI, kwangu Mimi Hayati Magufuli alikuwa na Sifa zifuatazo; 1. Mtu aliye nyang'anya TUNU ya UHAI ambayo Mwanadamu alipewa na MUNGU. 2. Mtu aliyekuwa na Kiburi na Jeuri. 3. Mtu mwenye UPEO Mdogo wa Kudadavua mambo, hasa ya Dunia ya Sasa. 4. Mtu mwenye wivu na husda na...
  10. chaliko

    Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

    Mkuu Generalist, Hatupingi, Ila kama Mh. Waziri ameweka wazi PRODUCTION COST @UNIT basi pia aweke wazi SELLING PRICE @UNIT baada ya Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere Kuanza kufanya KAZI.
  11. chaliko

    Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

    Asante Mkuu kunisaidia, Tunahitaji kujua bei Kwa Unit baada ya uzalishaji Kuanza. Hizi zingine zote ni porojo tu.
  12. chaliko

    Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

    Naomba nikuvumilie tu, Hoja yangu ni kwamba kama Mh. Waziri amesema Gharama ya Kuzalisha Unit 1 ni Tshs 37. Je huo umeme unaozalishwa utauzwa Kwa Tshs ngapi kwa Unit ikiwa ni Bei nafuu kwa mtumiaji wa Mwisho?
  13. chaliko

    Waziri Kalemani: Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15, 2021. Umeme wa maji ni nafuu kuliko wa vyanzo vingine

    Ninawasalimu wote, Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani amesema Bwawa la Nyerere litajazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 na ameeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo kuwa, • Maji ni shilingi 36 kwa unit moja. • Nyuklia ni shilingi 65 kwa unit moja. • Solar na upepo shilingi 103 kwa...
  14. chaliko

    Hivi TISS wanatumia vigezo gani kuajiri?

    ZAMANI, walikuwa wanachukua katika Makundi haya; 1. Waseminari 2. Skauti 3. Watu wenye ujuzi Fulani. NB: Pamoja na Makundi hayo yote ilikuwa ni lazima uwe na IQ KUBWA na uwezo Mkubwa pia wa KUTUNZA SIRI. SIKU HIZI, wanaangalia sifa zifuatazo; 1. Mtoto wa WAZIRI. 2. Mtoto wa Mbunge. 3...
  15. chaliko

    Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

    Mkuu johnthebaptist: Unafananishaje UHAI wa MTU na Mali. Chukua Sekunde chache na ujaribu kutafakari kipi bora kwako au Kwa Familia yako, ROHO au MALI?
Back
Top Bottom