TAA na TANROADS lini mtatulipa fidia wadau wa Msalato?

COMOTANG

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
2,131
1,808
Habari za leo, napenda kukuulizeni TAA & TANROADS Ni lini MTATULIPA FIDIA wadau tuliofanyiwa uthamini toka mwaka 2018 ili kupisha ujenzi wa UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO?
 
CCM ikiondoka madarakani watu wa Dodoma Mtaacha kudhulumiwa na mtalipwa Mkuu.

Hebu fikiria tangu Mgogoro wa Ardhi Msalato umeanza mmewahi kumuona Mwenyekiti wa Mtaa, Mh. Diwani, Mh. Mbunge au Mkurugenzi wa Jiji?. HATA SIKU MOJA.

Waziri wa Ardhi Mh. Lukuvi utasikia yupo Mwanza, mara Arusha, n.k akitatua Migogoro. Hapo Dodoma yupo mara nyingi sana. Mmewahi kusikia akifanya ziara ya kutatua Migogoro ya Ardhi?. Naona akija na akiwa Dodoma huwa anawaangalia na Kuwasonya watu wa Dodoma.

Hayati Raisi Magufuli alikataa kuwasikilza licha ya kukaa barabarani kuanzia SAA 11 ALFAJIRI hadi SAA 9 ALASIRI mkisubiri kumuambia Kero zenu.

Waziri Mkuu yupo hapo, Je amewahi kuja kuwasikilza?

VUTENI SUBIRA, ARDHI YENU IKISHAKULIWA KWA BEI CHEE UTAWAONA WANA MAPAMBIO WAKIFIKA.

Dodoma Juu.....

CCM Oye....
 
Wenzako walishalipwa zamani. Endelea kushangaa tu
Walio lipwa Ni wale waliosahaulika kulipwa mwaka 2008 na wamelipwa mwaka Jana December. Wathaminiwa wa mwaka 2018 HAKUNA ALIYE LIPWA MKUU
 
CCM ikiondoka madarakani watu wa Dodoma Mtaacha kudhulumiwa na mtalipwa Mkuu.

Hebu fikiria tangu Mgogoro wa Ardhi Msalato umeanza mmewahi kumuona Mwenyekiti wa Mtaa, Mh. Diwani, Mh. Mbunge au Mkurugenzi wa Jiji?. HATA SIKU MOJA.

Waziri wa Ardhi Mh. Lukuvi utasikia yupo Mwanza, mara Arusha, n.k akitatua Migogoro. Hapo Dodoma yupo mara nyingi sana. Mmewahi kusikia akifanya ziara ya kutatua Migogoro ya Ardhi?. Naona akija na akiwa Dodoma huwa anawaangalia na Kuwasonya watu wa Dodoma.

Hayati Raisi Magufuli alikataa kuwasikilza licha ya kukaa barabarani kuanzia SAA 11 ALFAJIRI hadi SAA 9 ALASIRI mkisubiri kumuambia Kero zenu.

Waziri Mkuu yupo hapo, Je amewahi kuja kuwasikilza?

VUTENI SUBIRA, ARDHI YENU IKISHAKULIWA KWA BEI CHEE UTAWAONA WANA MAPAMBIO WAKIFIKA.

Dodoma Juu.....

CCM Oye....
Miji mwingine mazwazwa tu! Wapi ulisikia haki inaletwa kwenye Sahani?? Mmekalia kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Chagueni mbunge mpinzani akateme nyongo. Unaijua, Arusha ya Lema, Iringa ya Msigwa, Kigoma-Ujiji ya Zitto kabwe? CCM walishika adabu na Hakuna aliyedhurumiwa.
 
Tulia wewe tayari TAARIFA njema ishatufikia. Thread closed
 
Miji mwingine mazwazwa tu! Wapi ulisikia haki inaletwa kwenye Sahani?? Mmekalia kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa. Chagueni mbunge mpinzani akateme nyongo. Unaijua, Arusha ya Lema, Iringa ya Msigwa, Kigoma-Ujiji ya Zitto kabwe? CCM walishika adabu na Hakuna aliyedhurumiwa.
Mpinzani gani wa kumchagua Dodoma? UNAIJUA DODOMA AU UNAI HISI NA KUISIKIA ?
 
Back
Top Bottom